Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Pole kwa kusubiria jibu ! Bugando wamepandisha sana bei zao kwa hiyo jiandae...kama mgonjwa wako sio wa upasuaji basi jiandae na laki Kama mbili maana kuna elfu 20000 ya file na 150000 ya kulazwa kwa siku nne...kwenye hiyo laki na elfu hamsini kuna 25000 ya vipimo na 25000 na kilichobaki ni laki ya kulazwa kwa siku nne...vipimo na dawa zikizidi hela hiyo itabidi mlipie toka mifukoni kwa hiyo jiandae....Kama ni upasuaji jiandae na laki tatu na elfu hamsini (350000/=)Hakuna hata mmoja. Dah! Haya bana. Asanteni.
Siyo kweli. Tatizo letu Wabongo ni kulaumu na kulalamika. Japo ni mazingira magumu lakini madaktari wetu wanajitahidi sana. Mungu Awabariki! I am eternally grateful!Pole sana kwa kuuguliwa,inabidi ujiandae kisaikolojia maana bugando ni zaidi ya unavyoijua,siku hizi yamebaki majengo ubabaishaji mwingi,vipimo vingi havipatikani bugando mpaka hospitali binafsi,Kama unadaktari labda ungesema mgonjwa anasumbuliwa na tatizo gani ili uweze kupata msaada zaidi maana Bugando ni jipu linahitaji kutumbuliwa