Msaada: Gharama za hati miliki ya ardhi (tittle deed)

Msaada: Gharama za hati miliki ya ardhi (tittle deed)

mwakaf

Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
54
Reaction score
9
Habari ya leo wanaJF

Naomba msaada katika gharama za kupata hati miliki ya ardhi (Tittle Deed). Maana mi nimeendaa kwenye ofisi za wilaya hapa
karatu (Arusha) nimetajiwa kama Tsh 1,400,000/= na bado naambiwa kuna gharama za kule KIlimanjaro (MOshi) ndiyo wanatoa hizo hati.

Nawasilisha.
 
waambie wakupe mchanganuo mkuu!pia waweza toa hiyo pesa bado ukakaa miezi sita ndiyo uipate.vinginevyo usiwe mkono wa birika si unajua nchi hii ni ya kitu kidogo(polisi,ardhi,uhamiaji,tra,mahakama,hospitali)taasisi zinazonuka rushwa
 
Habari ya leo wanaJF

Naomba msaada katika gharama za kupata hati miliki ya ardhi (Tittle Dead). Maana mi nimeendaa kwenye ofisi za wilaya hapa
karatu (Arusha) nimetajiwa kama Tsh 1,400,000/= na bado naambiwa kuna gharama za kule KIlimanjaro (MOshi) ndiyo wanatoa hizo hati.

Nawasilisha.

.
Tittle dead?
.
 
naomba nisaidie inaitwaje kwa kiingereza?
 
naomba nisaidie inaitwaje kwa kiingereza?

Mkuu ulikuwa sahihi kwenye mada( title deed),lakini uliteleza kwenye key board ukaandika dead! Wengine wanakucheka wakati wao siyo lugha yao ya kuzaliwa!
 
Deed (legal an official document that gives details of a legal agreement especially who owns a building or a piece of land)
 
Back
Top Bottom