Msaada: Gharama za kuanzisha mashine ya kukoboa na kusaga nafaka

Msaada: Gharama za kuanzisha mashine ya kukoboa na kusaga nafaka

MIMI NINAZO MACHINE ZA KUSAGA(BRAND NEW) SET 2 ZA KUSAGA NA SET 2 ZA KUKOBOA.NAOMBA NIWAUZIE WALE WANAOTARAJI KUANZA HII BIASHARA.NAZIUZA KWA BEI REASONABLE SANA IKILINGANISHWA NA BEI YA SOKO DUKANI KWA SASA.BEI YA SET MOJA DUKANI KWA SASA NI SH MIL 3,700,000(IKIWA COMPLETE).MIMI NITAUZA SET MOJA KWA SH 2,500,000 TU.BEI HIYO KWA SET MOJA NI SAWA EITHER KAMA NI YA KUKOBOA AU KUSAGA.INA MAANA KWA SET 2 KUKOBOA NA 2 KUSAGA NITAUZA KWA JUMLA SH MIL 10 TU.HIZI MACHINE HAZIJAWAHI TUMIKA POPOTE.MIMI NILIZINUNUA ILI NIANZE MRADI WA KUSAGA ILA NIKAKOSA MTU WA KUSIMAMIA PROJECT HUSIKA.MACHINE HIZI ZIPO DSM-MBEZI BEACH.MAWASILIANO 0767 61 00 68.KARIBUNI.

mkuu nitakutafuta
kuja kuziona ni za wapi ,na motor zake zimesukwa au orginal,from where

thanks
 
Habari wanajamvi,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, katika harakati za kuweza kujiweka kiuchmi na kuyasongesha maisha mbele, nimeona niwekeze tena kwenye kufungua mashine ya kukoboa na kusaga nafaka, sasa nimeona nilete huu mjadala humu manake kuna watalamu wa haya mambo, kama wapo wanaoweza kudadavua watusaidie, pengie hata wengine wapo wenye uhitaji wa hii biashara, garama zake zote mpaka inakamilika msaada.

Karibuni

By

Young

Dimaa.
Gharama za mradi inategemea mahali uliko;
1. Site yako ina umeme? Ikiwa una umeme utahitaji kununua mota ya hp 20 kwa ajili ya kusaga na 15hp kwa kukoboa
2. Ikiwa huna umeme utahitaji kununua injini diesel ya 20hp
3. Kinu cha kusagia wanachonga kuanzia 1.8ml hadi 2.5ml nakuendelea
Kwa msaada zaidi pitia madukani ulizia bei za mota na injini hizo
 
MIMI NINAZO MACHINE ZA KUSAGA(BRAND NEW) SET 2 ZA KUSAGA NA SET 2 ZA KUKOBOA.NAOMBA NIWAUZIE WALE WANAOTARAJI KUANZA HII BIASHARA.NAZIUZA KWA BEI REASONABLE SANA IKILINGANISHWA NA BEI YA SOKO DUKANI KWA SASA.BEI YA SET MOJA DUKANI KWA SASA NI SH MIL 3,700,000(IKIWA COMPLETE).MIMI NITAUZA SET MOJA KWA SH 2,500,000 TU.BEI HIYO KWA SET MOJA NI SAWA EITHER KAMA NI YA KUKOBOA AU KUSAGA.INA MAANA KWA SET 2 KUKOBOA NA 2 KUSAGA NITAUZA KWA JUMLA SH MIL 10 TU.HIZI MACHINE HAZIJAWAHI TUMIKA POPOTE.MIMI NILIZINUNUA ILI NIANZE MRADI WA KUSAGA ILA NIKAKOSA MTU WA KUSIMAMIA PROJECT HUSIKA.MACHINE HIZI ZIPO DSM-MBEZI BEACH.MAWASILIANO 0767 61 00 68.KARIBUNI.
Mkuu, hizo ni za China, India ama SIDO?
 
Write your reply...jamani ninashida moja ivi kama kuna mtu ambaye anauza mashine za kusagia na kukoboa naomba nifahamu bei za .mashine Hizo pia jambo lengine ningependa kuomba kama kuna .tu yeyote mwenye mawazo ya kibiashara Tupashane kidogo
 
Gharama za mradi inategemea mahali uliko;
1. Site yako ina umeme? Ikiwa una umeme utahitaji kununua mota ya hp 20 kwa ajili ya kusaga na 15hp kwa kukoboa
2. Ikiwa huna umeme utahitaji kununua injini diesel ya 20hp
3. Kinu cha kusagia wanachonga kuanzia 1.8ml hadi 2.5ml nakuendelea
Kwa msaada zaidi pitia madukani ulizia bei za mota na injini hizo
horse power ya 20? ndogo sana kwa tani 10, hapo atafute ya kuanzia hp 30, akipata ya England ni nzuri zaidi
 
horse power ya 20? ndogo sana kwa tani 10, hapo atafute ya kuanzia hp 30, akipata ya England ni nzuri zaidi
Kuanzia hp 50.
Mashine ya kukoboa roller SITA au tano. Hapo ataweza koboa kuanzia gunia 12 Kwa saaa za kilo 100. Kwa muda wa masaa kumi Tu tan kumi kamaliza.
Kusaga ushaur tafuta fundi mrecommend akuchongee kinu chenyewe plate kuanzia inch 10. Maujanja ya speed ni pulley Ila chongesha oversize.
NB . Una mtaji kweli w kupata mahindi ya kulisha Tami kumi daily?
 
Ni mpya ukiuliza ukubwa na mengineyo mimi sio mtalaam haya nimepewa urithi tu ni mpya ya kusaga na kukoboa kama unazitaka ni dm namba zako nitume picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasemekana ukiwa na mtaji wa tsh 10m pamoja na nyumba yenye vyumba kadhaa unaweza kuanza uzalishaji....unafunga mashine kwenye hiyo nyumba na baadhi ya rooms unatumia kama store. Ila ukitaka mpaka ufikishe milioni 100 ndo uanze uzalishaji endelea kusubiri.
Hiyo milioni 10 inajumuisha na gharama za kununua na kufunga mashine zote mbili ya kukoboa na kusaga? Na vipi baada ya kuwa umeshafunga hizo mashine ni kama kiasi gani cha mtaji huo unatakiwa ubaki nacho kwa ajili ya kununua mzigo na mambo mengine hadi mzigo wa unga uingie sokoni?
 
Hiyo milioni 10 inajumuisha na gharama za kununua na kufunga mashine zote mbili ya kukoboa na kusaga? Na vipi baada ya kuwa umeshafunga hizo mashine ni kama kiasi gani cha mtaji huo unatakiwa ubaki nacho kwa ajili ya kununua mzigo na mambo mengine hadi mzigo wa unga ungie sokoni?
Zote mbili nauza 4m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na ww unataka kwa matumizi gani ....maana mi na bay tumefungua kiwanda cha sembe SAYUNI MILLS FLOUR soon utakuwa sokoni

Complete mashine kuanzia motor ni milion 3 ....inategemea, kwa kampuni moja wanajiita blacker mamber wapo vizuri sana aisee bei zao ni ndogo achana na vishoka wanaojidai wanazo wakati wanakudalalia malinza wahindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo blacker mamber wako sehemu gani mkuu, tuwatembelee

Back
Top Bottom