Fence ikiwa nzuri, mbona nyumba utaipenda!!Mkubwa ratio ni meter moja kwa motofali 20 pima mzingo wa eneo lako zidisha mara 20! Idadi ya tofali utazopata zidisha mara 1.3 utapata idadi ya matofali ya kumlipa fundi.
~hyo idadi ya matofali x 250 hapo utapata hela ya ufundi
~matofati 200 kwa mfuko 1