MSAADA: Gharama za kujifunza kuendesha gari

Sio kwako tu ni ngeni kwa karibu wote humu. Unapaswa kwanza uwe na gari umelipaki nje, alaf unakula darsa la kutosha kuanzia mlango unafunguliwaje hadi taa zinawashwaje hadi kila kitu, ukimaliza unaenda ku practice huko nje.

Duh 🫡🫡🫡
 
Sio kwako tu ni ngeni kwa karibu wote humu. Unapaswa kwanza uwe na gari umelipaki nje, alaf unakula darsa la kutosha kuanzia mlango unafunguliwaje hadi taa zinawashwaje hadi kila kitu, ukimaliza unaenda ku practice huko nje.
Nakubaliana na wewe ila peke bila instructor kabisa kabisa umenizidi hapo maana mimi nili jifunza you tube kwanza kuna jamaa anaitwa criss channel yake ni world driving school

Yuko vizuri sana kwa beginner na inawezekana kama ukiwa mtulivu mimi nakumbuka tangu nianze kujifunza gari kupitia you tube na nilipo ingia practical

Sijawahi zima gari isipokuwa mara moja tu wakati wa kufanya kurudisha gari kwa nyuma

Na ni manual transmission car

Na baadae nikaenda VETA Chang'ombe kwa akina Sawaka
Huko nikaongezea ujuzi zaidi wa sheria za barabarani

Ila walimu wa you tube wako vizuri sana
Ingawa Veta wako vizuri pia changamoto yao kubwa wanafundisha kama wanamfundisha mtu ane weza plus matusi na sheria nyingi kama secondary.

Mantiki ya maelezo haya marefu ni kua you tube kujifunza inawezekana kama utakuwa mtulivu.

Ila mwanafunzi kama ndio mara ya kwanza unatoa gari inafaa awepo instructor ili usisababishe majanga yoyote. aidha kwako au katika chombo na vile vinavyo kuzunguka
 
Hello,

Mimi nataka kujifunza gari, anaejua bei ya kufundishwa na je ni sehemu gani mzuri ya kujifunza au kama kuna mtu anae weza kunifundisha aje pm tuyajenge nitampoza kidogo.
Unapatikana wapi mkuu, Kama uko Dodoma kuna watu wanaitwa Trust Driving School watafute hutajutia mafunzo yao ya udereva, ni wabobezi.
 
Ila kama nikipata nitaenda hila nataman sana now kujifunza gari uwezi jua mwezi ujao ukaniomba lift pale river side
Utaanza kuniombaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kesho ukitaka lift nakupaaa.
 
Utaanza kuniombaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kesho ukitaka lift nakupaaa.

Unipitie bas morng [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Very true. Mie nilianzia kujifunzia manual kwenye youtube na niliweza na nna weza mpaka leo, yaan niliangalia lessons karibu 50 iv. Nilivyoweza balance na nini basi nikaamia kwenye auto yaan haikunishinda ata kidogo. Mpaka leo nna uwezo mkubwa sana wa ku drive gari.
 
Mwaka flani enzi izo mie nilijifunza gari kwa kutumia Youtube, sijawai kufundishwa na mtu, na mpaka sasa am the best driver ki ukweli ukweli. damn! how special i am[emoji16]
Huko ndio kwenyewe, mimi pia nilianza kuangalia video za namna ya kuendesha manual car huko, nikiwa sijawahi hata gusa gari yoyote na nilitoboa.

Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
 
Hello,

Mimi nataka kujifunza gari, anaejua bei ya kufundishwa na je ni sehemu gani mzuri ya kujifunza au kama kuna mtu anae weza kunifundisha aje pm tuyajenge nitampoza kidogo.
Tafuta chuo/shule/Kituo cha VETA chochote kilichopo karibu na eneo lako utapata muongozo mzima hadi kupata leseni daraja D
Hakikisha unakwenda chuo cha Udereva ambapo utajifunza kuendesha pamoja na sheria. Mazoezi utaendelea kufanya mtaani; Ila usijifunzie mtaani kwani huko hutajua sheria na taratibu za kuendesha gari
 
Yeah!!!

Lakini kama atampata alie pitia VETA na ni mstaarabu.

Sheria za barabarani usalama na udereva wa kujihami atafundishwa pia.

Ingawa kwa bahati mbaya watu wengi wanaenda Veta na elimu wanaiacha hukohuko.

Hata ukiangalia huko barabarani kwa TZ ajali nyingi zinazotokea kwa uzembe wa madereva na wengine au wengi ndio hao walio pitia VETA wamesomea BASIC, PSV, VIP na TRUCK.
 
Kwa mawazo yangu AENDE CHUONI (VETA)
Aende Chuoni, akitoka huko amtafute huyo wa Veta kwa ajili ya mazezi.

Huyo aliyejifunzia VETA sio lazima awe anazijua taratibu vizuri; Mbona watu wanasoma wote kutoka darasa la kwanza hadi la Saba ila wakifanya mtihani wengine wanapata Hesabu 90% na mwingine anapata 25% na wote wamesoma shule moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…