Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwako tu ni ngeni kwa karibu wote humu. Unapaswa kwanza uwe na gari umelipaki nje, alaf unakula darsa la kutosha kuanzia mlango unafunguliwaje hadi taa zinawashwaje hadi kila kitu, ukimaliza unaenda ku practice huko nje.
Ngoja waje kukupa muongozo...
Nakubaliana na wewe ila peke bila instructor kabisa kabisa umenizidi hapo maana mimi nili jifunza you tube kwanza kuna jamaa anaitwa criss channel yake ni world driving schoolSio kwako tu ni ngeni kwa karibu wote humu. Unapaswa kwanza uwe na gari umelipaki nje, alaf unakula darsa la kutosha kuanzia mlango unafunguliwaje hadi taa zinawashwaje hadi kila kitu, ukimaliza unaenda ku practice huko nje.
Unapatikana wapi mkuu, Kama uko Dodoma kuna watu wanaitwa Trust Driving School watafute hutajutia mafunzo yao ya udereva, ni wabobezi.Hello,
Mimi nataka kujifunza gari, anaejua bei ya kufundishwa na je ni sehemu gani mzuri ya kujifunza au kama kuna mtu anae weza kunifundisha aje pm tuyajenge nitampoza kidogo.
Utaanza kuniombaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila kama nikipata nitaenda hila nataman sana now kujifunza gari uwezi jua mwezi ujao ukaniomba lift pale river side
AhsanteeeeeChukua ushauri huu
Utaanza kuniombaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kesho ukitaka lift nakupaaa.
Very true. Mie nilianzia kujifunzia manual kwenye youtube na niliweza na nna weza mpaka leo, yaan niliangalia lessons karibu 50 iv. Nilivyoweza balance na nini basi nikaamia kwenye auto yaan haikunishinda ata kidogo. Mpaka leo nna uwezo mkubwa sana wa ku drive gari.Nakubaliana na wewe ila peke bila instructor kabisa kabisa umenizidi hapo maana mimi nili jifunza you tube kwanza kuna jamaa anaitwa criss channel yake ni world driving school
Yuko vizuri sana kwa beginner na inawezekana kama ukiwa mtulivu mimi nakumbuka tangu nianze kujifunza gari kupitia you tube na nilipo ingia practical
Sijawahi zima gari isipokuwa mara moja tu wakati wa kufanya kurudisha gari kwa nyuma
Na ni manual transmission car
Na baadae nikaenda VETA Chang'ombe kwa akina Sawaka
Huko nikaongezea ujuzi zaidi wa sheria za barabarani
Ila walimu wa you tube wako vizuri sana
Ingawa Veta wako vizuri pia changamoto yao kubwa wanafundisha kama wanamfundisha mtu ane weza plus matusi na sheria nyingi kama secondary.
Mantiki ya maelezo haya marefu ni kua you tube kujifunza inawezekana kama utakuwa mtulivu.
Ila mwanafunzi kama ndio mara ya kwanza unatoa gari inafaa awepo instructor ili usisababishe majanga yoyote. aidha kwako au katika chombo na vile vinavyo kuzunguka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nambie nikukute wapi?Unipitie bas morng [emoji23][emoji23][emoji23]
Huko ndio kwenyewe, mimi pia nilianza kuangalia video za namna ya kuendesha manual car huko, nikiwa sijawahi hata gusa gari yoyote na nilitoboa.Mwaka flani enzi izo mie nilijifunza gari kwa kutumia Youtube, sijawai kufundishwa na mtu, na mpaka sasa am the best driver ki ukweli ukweli. damn! how special i am[emoji16]
Hahahaha ukiwa dereva pesa ya kiwi isicheze mbaliTraffic wanakusubiri kwa hamu wakupige mabao[emoji2][emoji28]
Kweli kabisa mkuuHahahaha ukiwa dereva pesa ya kiwi isicheze mbali
Traffic wanakusubiri kwa hamu wakupige mabao[emoji2][emoji28]
Kila la kheri dereva mtarajiwa[emoji23][emoji23] mimi mwenye police
Kila la kheri dereva mtarajiwa
Tafuta chuo/shule/Kituo cha VETA chochote kilichopo karibu na eneo lako utapata muongozo mzima hadi kupata leseni daraja DHello,
Mimi nataka kujifunza gari, anaejua bei ya kufundishwa na je ni sehemu gani mzuri ya kujifunza au kama kuna mtu anae weza kunifundisha aje pm tuyajenge nitampoza kidogo.
Yeah!!!Tafuta chuo/shule/Kituo cha VETA chochote kilichopo karibu na eneo lako utapata muongozo mzima hadi kupata leseni daraja D
Hakikisha unakwenda chuo cha Udereva ambapo utajifunza kuendesha pamoja na sheria. Mazoezi utaendelea kufanya mtaani; Ila usijifunzie mtaani kwani huko hutajua sheria na taratibu za kuendesha gari
Kwa mawazo yangu AENDE CHUONI (VETA)kwa ajili ya mazYeah!!!
Lakini kama atampata alie pitia VETA na ni mstaarabu.
Sheria za barabarani usalama na udereva wa kujihami atafundishwa pia.
Ingawa kwa bahati mbaya watu wengi wanaenda Veta na elimu wanaiacha hukohuko.
Hata ukiangalia huko barabarani kwa TZ ajali nyingi zinazotokea kwa uzembe wa madereva na wengine au wengi ndio hao walio pitia VETA wamesomea BASIC, PSV, VIP na TRUCK.