Msaada; gharama za kukata bima ya pikipiki.

Kiukweli jf, inaturahisishia maisha sana, thanks mkuu
 
Nataka kununya pikipiki kesho, naonba juzwa haya boss,
1. io Bima ina nisaidia nini mimi kama mtumiaji wa pk pk, au nikama za kwenye Magar,
.
2. Vitu gani vya kukagua ubapokua una nunua pkpk kwa mtu (iliyo tumika)
.
3. Mambo gani yanipasa kuya zingatia, ninapo amuakutumia pk pk (boxer) kama usafili wangu bibafsi, mfano sheria na usumbufu huu wa awa trffic wetu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…