Msaada: Gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA ili kupata nakala ya maandishi katika daftari la ndoa

Msaada: Gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA ili kupata nakala ya maandishi katika daftari la ndoa

Intricate

Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
56
Reaction score
162
Habari,

Kwa mwenye kujua gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA tafadhali pamoja na process zake.

Natanguliza shukran za awali.
 
Si uende ofisini kwao? Una hamu ya kupigwa na vishoka wewe.

Haya lete hiyo laki 2 nikusajilie fasta.
 
Back
Top Bottom