Msaada gharama za ujenzi wa nyumba ya floor moja ikiwa boma bila finishing

new level

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2021
Posts
274
Reaction score
583
IMG_6544.jpeg

Nyumba Ina master bedrooms 2 cinema room kitchen dining , lounge na Stor kwa ground na floor ya juu Ina 3 master bedrooms office na stares kadhaa naomba wenyekua na expérience na ujenzi wanisaidie ili niingie mzigoni bila kua na wasiwasi … ni Makadirio ya boma tu bila finishing maana sijapata interior design Asanteni .
 
Hello... Inategemeana na ramani yako ilivyo,
Inbox me for exactly estimations WhatsApp +255-657-685-268

Ila hii ni overview ya gharama kujenga Tanzania in TZS:

Nyumba za Kawaida vyumba 3 hadi 4
  • Nyumba Nafuu vyumba 3 = 30-45Mil
  • Nyumba kawaida = 55-80Mil
  • Nyumba Bungalow = 90-130Mil

Nyumba za Ghorofa vyumba 4
  • Ghorofa Nafuu = 175-200Mil
  • Ghorofa kawaida = 250-325Mil
  • Ghorofa Premium = 500Mil na kuendelea
 
Two bedroom nyumba kawaida inaweza kuwa mil ngapi?
 
View attachment 3175083
Nyumba Ina master bedrooms 2 cinema room kitchen dining , lounge na Stor kwa ground na floor ya juu Ina 3 master bedrooms office na stares kadhaa naomba wenyekua na expérience na ujenzi wanisaidie ili niingie mzigoni bila kua na wasiwasi … ni Makadirio ya boma tu bila finishing maana sijapata interior design Asanteni .
CC: Alvajumaa
 
Hello... Inategemeana na ramani yako ilivyo,
Inbox me for exactly estimations WhatsApp +255-657-685-268

Ila hii ni overview ya gharama kujenga Tanzania in TZS:

Nyumba za Kawaida vyumba 3 hadi 4
  • Nyumba Nafuu vyumba 3 = 30-45Mil
  • Nyumba kawaida = 55-80Mil
  • Nyumba Bungalow = 90-130Mil

Nyumba za Ghorofa vyumba 4
  • Ghorofa Nafuu = 175-200Mil
  • Ghorofa kawaida = 250-325Mil
  • Ghorofa Premium = 500Mil na kuendelea
Uko vzr. Hapa sikupingi kwa uzoefu wangu.
 
Back
Top Bottom