Two bedroom nyumba kawaida inaweza kuwa mil ngapi?Hello... Inategemeana na ramani yako ilivyo,
Inbox me for exactly estimations WhatsApp +255-657-685-268
Ila hii ni overview ya gharama kujenga Tanzania in TZS:
Nyumba za Kawaida vyumba 3 hadi 4
- Nyumba Nafuu vyumba 3 = 30-45Mil
- Nyumba kawaida = 55-80Mil
- Nyumba Bungalow = 90-130Mil
Nyumba za Ghorofa vyumba 4
- Ghorofa Nafuu = 175-200Mil
- Ghorofa kawaida = 250-325Mil
- Ghorofa Premium = 500Mil na kuendelea
CC: AlvajumaaView attachment 3175083
Nyumba Ina master bedrooms 2 cinema room kitchen dining , lounge na Stor kwa ground na floor ya juu Ina 3 master bedrooms office na stares kadhaa naomba wenyekua na expérience na ujenzi wanisaidie ili niingie mzigoni bila kua na wasiwasi … ni Makadirio ya boma tu bila finishing maana sijapata interior design Asanteni .
Uko vzr. Hapa sikupingi kwa uzoefu wangu.Hello... Inategemeana na ramani yako ilivyo,
Inbox me for exactly estimations WhatsApp +255-657-685-268
Ila hii ni overview ya gharama kujenga Tanzania in TZS:
Nyumba za Kawaida vyumba 3 hadi 4
- Nyumba Nafuu vyumba 3 = 30-45Mil
- Nyumba kawaida = 55-80Mil
- Nyumba Bungalow = 90-130Mil
Nyumba za Ghorofa vyumba 4
- Ghorofa Nafuu = 175-200Mil
- Ghorofa kawaida = 250-325Mil
- Ghorofa Premium = 500Mil na kuendelea