Msaada: Godoro gani zuri?

Tanfoam ndio kabali yao hata bei yake imesimama.
Mi nilijua Godolo QFL dodoma ndio imara kupita yote.
Kumbe kuna Tanfoam, hilo sijahi kulisikia.
Hii Tanfoam yanatengenezwa hapa nchini au yanaingizwa toka nje.
 
Wakuu hali zenu,

Nimechanganyikiwa kidogo baada ya mfululizo wa matangazo ya magodoro. Je, lipi ni bora zaidi? Nataka nitafute 6x4, sasa sijui lipi litanifanya niote vizuri.

Shukrani
Naona fedha zimekutembelea mkuu ndio maana matangazo mengi yanakuchanganya
 
Jamani naomba kuuliza eti mafuta ya breki ni dawa ya m'ba???
Nimewahi kushuhudia mara kadhaa watu wakitumia kujitibu ila tatizo likizidi uwahi hospital mkuu
 
Natumia Tanfoam la arusha 5x6 inchi 10
Nilinunua Arusha ikabidi nilisafirishe mpaka Dar,

Dar hayapatikani kwa urahisi, kuyokana na bei yake kuwa juu sana compare na kampuni nyingine.
 
Mi nilijua Godolo QFL dodoma ndio imara kupita yote.
Kumbe kuna Tanfoam, hilo sijahi kulisikia.
Hii Tanfoam yanatengenezwa hapa nchini au yanaingizwa toka nje.
Yanatengenezwa Arusha, yako vizuri sana.

Niliwahi tumia Superbanco lkn baada ya miezi 6 likabonyea katikati,

Tanfoam ni imara ndo mana bei yake imesimama inazidi mengine by 100k hivi kwa size yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…