Msaada: Godoro gani zuri?

Msaada: Godoro gani zuri?

Sambamba na swali lako ,hivi ni malighafi gani hutumika kutengeneza magodoro?
Mali ghafi inayotumika kutengeneza magodoro ya sponji ni mpira.

Hapa nchini yaonekana ni zao geni kwa kuwa halilimwi.

Hulimwa zaidi nchi za Malaysia na nchi zingine kadhaaza mashariki ya mbali.

Miti yake hapa kwetu inafanana na miti ya kisamvu.

Inavunwa kwa kugemwa utomvu wake na kupitishwa kwenye michakato mbalimbali ya kitaalamu hadi kufukia hiyo product.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napia ni wapi nitapata magodoro yaliyo mtumba,Yaani yaliyokishatumika
 
Napia ni wapi nitapata magodoro yaliyo mtumba,Yaani yaliyokishatumika
Watanzania na mitumba sawa na chura na maji...hata godoro unataka mtumba!?

Chukua godoro jipya linaloendana na pesa yako mkuu.
 
Wakuu hali zenu,
Nimechanganyikiwa kidogo baada ya mfululizo wa matangazo ya magodoro. Lipi ni bora zaidi? Nataka nitafute 6x4, sasa sijui lipi litanifanya niote vizuri.
Shukran!
Spring ila budget yako iwe ngangari
 
Back
Top Bottom