Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,780
- 6,133
TanFoam
alinunua mjukuu mpaka babu analitumia!
Nimenunua ... la banco
siyo yale yalechukua super banco ndo mazuri
Vp yale ya spring.!
yale huwaga ni full yani pamoja na kitanda chake ila bei yake sasa inabidi ujipange godoro lina spring kitanda nacho kina spring.
Nimenunua godoro si zaidi ya miezi minne iliyopita la banco , lile la size ya mwisho. Niliamini Super banco ni zuri na wametoa guarantee ya mwaka. Lakini, sasa hivi ni chanzo cha kuamka shingo au mwili unauma kwani , godoro linabonyea chini.
Naomba uzoefu wa magodoro mengine, au ni spring mattress tu??