ChemicalsSambamba na swali lako ,hivi ni malighafi gani hutumika kutengeneza magodoro?
Nilikuwa sijui
Maji na chemicalsSambamba na swali lako ,hivi ni malighafi gani hutumika kutengeneza magodoro?
Mali ghafi inayotumika kutengeneza magodoro ya sponji ni mpira.Sambamba na swali lako ,hivi ni malighafi gani hutumika kutengeneza magodoro?
Sasa simara nitajuaje kama hili ni feki na hili ni original maana mm sina utaalam nayo "HELP ME PLEASE".
Jitahidi uwaone mawakala wao usiende kichwa kichwa,epuka kununua godoro vichochoroni watakubambikia. Ukweli kabisa Tanfoam hutojutiaSasa simara nitajuaje kama hili ni feki na hili ni original maana mm sina utaalam nayo "HELP ME PLEASE".
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa DSM mawakala wao wanapatikana wapi???,maana kila duka anajifanya wakala mdogoJitahidi uwaone mawakala wao usiende kichwa kichwa,epuka kununua godoro vichochoroni watakubambikia. Ukweli kabisa Tanfoam hutojutia
Kati ya inhi 8 na inchi 10, lipi ni bora kutumia? Maana kuna mdau alisema nane.
Watanzania na mitumba sawa na chura na maji...hata godoro unataka mtumba!?Napia ni wapi nitapata magodoro yaliyo mtumba,Yaani yaliyokishatumika
Ipo siku wataulizia hadi miswaki ya mtumbaWatanzania na mitumba sawa na chura na maji...hata godoro unataka mtumba!?
Chukua godoro jipya linaloendana na pesa yako mkuu.
Spring ila budget yako iwe ngangariWakuu hali zenu,
Nimechanganyikiwa kidogo baada ya mfululizo wa matangazo ya magodoro. Lipi ni bora zaidi? Nataka nitafute 6x4, sasa sijui lipi litanifanya niote vizuri.
Shukran!