Msaada: Godoro gani zuri?

Msaada: Godoro gani zuri?

Endangered

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
922
Reaction score
228
Wakuu hali zenu,

Nimechanganyikiwa kidogo baada ya mfululizo wa matangazo ya magodoro. Je, lipi ni bora zaidi? Nataka nitafute 6x4, sasa sijui lipi litanifanya niote vizuri.

Shukrani
 
Wakuu hali zenu,
Nimechanganyikiwa kidogo baada ya mfululizo wa matangazo ya magodoro. Lipi ni bora zaidi? Nataka nitafute 6x4, sasa sijui lipi litanifanya niote vizuri.
Shukran!
Umeshaoa/olewa?
 
Nunua godoro jembamba lisilo na sponji nyingi.
Hilo halichoki haraka na linakunjika kadiri utakavyo

shukran mkuu. Sasa, brand gani niiendee? Maana kuna kina Tanfoam, sijui wengine Quality... Mara magodoro dodoma. Mara lile la babu mpaka mjukuu. Hapo ndo nachanganyikiwa sasa.
 
Ngoja ni kae hapa pembeni nishuhudie hata wanao lala kwenye vilabu wakisifia magodoro baada ya kuyaona kwenye tv!
 
Back
Top Bottom