Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,866
- 1,076
Wadau naombeni msaada kwa kwenye grading system ya Muccobs, yaani kitu chochote kinachooneaha mfumo wa alam za ufaulu wa masomo mf. A= ngapi, au inaanzia ngapi Na inaishia wapi.
Nimejaribu kuangalia kwenye website Yao lakini sijafanikiwa kuipata, hata kwenye prospectus Yao ya 2012 haipo, so kwa yoyote anayesoma au aliyesoma au mwenye prospectus ya 2010 au 2014 naomba anisaidia Ku scan sehemu hiyo ya grading system then anipostie.
Asanteni.