Msaada: Hajaona siku zake leo siku ya 35, katika UPT haionyeshi

Msaada: Hajaona siku zake leo siku ya 35, katika UPT haionyeshi

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
597
Reaction score
651
Wadau najua humu wapo watalaam,dada mmoja hajaona siku zake leo siku ya 35,ila amepima na UPT mara mbili haionyeahi mimba.Hili limekaaje.Kawaida ya mzunguko wake ni ni 32_35
 
Wadau najua humu wapo watalaam,dada mmoja hajaona siku zake leo siku ya 35,ila amepima na UPT mara mbili haionyeahi mimba.Hili limekaaje.Kawaida ya mzunguko wake ni ni 32_35

Ucjal mkuu ataona, kuna mtu alikuwa hv hv kama huyo na kakaa mwez karb na nus hv akajua tayar kashapata mimba lakin akaona inatokea kutokana na kuumwa,lishe au hata kubadil mazingira.
 
namna anavyoongeza tension ya kujihoji kama imo au haimo anajipa stress hivyo ndo anazidi kuubadilisha mzunguko wake. Ingekua ni 28 mzunguko wake kweli ingekua lazma imo bt mpaka sasa bado hajazidisha so inaweza kuwemo au isiwemo. Kwani dalili za bleed anaziona au yuko ok kbsa?
 
Asihofu.....

Wengine inafika mpaka 45 days na hakuna kiumbe....
 
Kama mzunguko wake ninsiku 32-35 mwambie awe mpole...

La aende hospitali akafanye blood test....apime bhcg levels....
 
Watu tunapitisha hadi miezi 5.hebu aache utani..au ndo kavunja ungo recently
 
Jamani watu muna macho yenye uwezo mkubwa sana wa kuona munawezaje kuziona siku ?????
 
Wadau najua humu wapo watalaam,dada mmoja hajaona siku zake leo siku ya 35,ila amepima na UPT mara mbili haionyeahi mimba.Hili limekaaje.Kawaida ya mzunguko wake ni ni 32_35

Umri wako miaka gapi?
 
Wadau najua humu wapo watalaam,dada mmoja hajaona siku zake leo siku ya 35,ila amepima na UPT mara mbili haionyeahi mimba.Hili limekaaje.Kawaida ya mzunguko wake ni ni 32_35

Siku za nini mkuu mbona mbinafsi huyo ni za weekend au kawaida?
 
Kama kipimo kimeonesha negative basi usitegemee muujiza, inatokea kupitisha mwez au zaid ni kutokana na mabadiliko ya mazingira au lishe. Na anavyoji stress zaidi ndo hataziona mapema
 
Umri, au ndo anaanza? Hapo anaweza kukaa hata miezi mitatu bila kuona kitu. Je amekaribia menopause? hapa ndo ngoma atakaa hata miezi mitano. je, aliugua karibuni labda malaria? Wengine ugonjwa huwafanya wamiss. Je ana mawazo fulani hasa ya kuwa mja mzito? hapo atangoja kidogo ubongo utamchezea we acha tu. Pole
 
Mimi na mshauri atakapo ona hazijatokea kabisa na akahitaji tiba asisikilize pumba za wadau anae umwa ni yeye na ukweli anao yeye mwenye mwambie anitafute kwa tiba maalum kuna dawa moja inatwa soy power ikisaidazana na nyingine iitwayo pine pollen mwambie agoogle kwanza kwenye mtandao asome kaz za kila mojo halafu anitafute kwa no, 0713871599.

atakuwa amepona hii haijapata mpinzani na kama kuna mwingine hata kama ana mwaka mzima hajaziona mpe namba hiii anitafute asanten wadau.
 
Back
Top Bottom