Msaada hapa wapendwa; Ananipa kila kitu lakini ana kibamia

Milioni moja kila siku.....ndani ya mwezi si una m30?!!! Hazitoshi mtaji wa kukimbia hayo 'mateso'?!! Stori za kutunga shida sana.
Bro naomba jitahidi uwe unma stori zsngu zooote alafu utanielewa

Kuna watu wana hela Tz sio kitoto mimi na wewe ndio maskini jeuri tuuuu na njaaa zetu tuuu

Kuna watu hawajajaaliwa kipaji cha utunzi kabisa.
Aisee wewe umejaliwa chako kikowapi embu ni tag basi story zako bro! Alafu hii ni kweli sio uongo wala sijatunga ni true story

Weee penny,,,, na wewe sikuhizi umekuwa shigongo?,,,,, story Gani hii usawa huu,,,,,
Ahahahahaha naskia Shigongo ananitafuta amesoma stori zangu anataka afanye kazi na mimi
 

Labda wewe ndio masikini jeuri. Najua watu wengi sana ambao 1m wanaiona kama 10,000 ya kula mchana. Nilichosema hapa ni huyu dada anaeomba msaada wakati angeweza kupata hela ya mtaji na kuachana na huyo kibamia akawa free kutafuta wenye matango! Kama una mtu anakupa 1m almost kila siku,anakupangishia nyumba $1000 ni wazi kama huwezi kumuomba akupe 50m capital, basi unaweza kufanya savings ndani ya mwezi tu una 30m.
 
Jamaaa

Jamaaani pole ina maana wewe ni bikra au bijra wa kugongea?!

Ndiyo sasa kama hapati raha je afanyaje
Aya weee

Hivi unaijua milioni vizuri?Anafanya kazi idara gani hadi aweze kukupa milioni kila siku?Punguza chumvi kidogo mdogo wangu

Mpendwa me naongelea watu wa arena ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA sio hii ya KAZI TUUU, kama wakati ule haukula hata 100 ya kibopa mama pole sana wenzio waliogeleeaaaa

Wenye vibamia tutaelewa tu.
Ingawa huu uzi unaonekana ni home made lakini naona nyuzi za hivi zimefululiza humu...

Ingekuwa home made si ningeandika jamaa, hii ishu ya kweli bro! Kama hauna mchuzi mwenywwe tuuu wengine wanazo

yy si anataka hogo kibamia hakimtoshi mwambie atafute mwenye hogo akishamfikisha kwenye kilele anachotaka huku kibopa anajua kila kitu jiandaeni kumpokea temeke
Hahahaha. Ni sheeedah!

Tamaa au Mjeda alimfukuzia mwenyewe bro?!

Kwaiyo we unamshauri vepe labda

angekuwa anadushe la maana na hana pesa anakupiga dushe uku unapauka tu ungekuja pia tukushauri nyie wanawake nyie mpewe kila kitu uku mnatak haki sawa wanaume kazi tunayo tena sio ya kitoto
Huna mchuzi no excuse ~ akajiimbia DARASA

Kama ilivokua
Simba vs Yanga kwa nn isiwe
Kibamia vs Dushe

Chagua 1 na ushabikie
Team fushe na Hogo baab! Nipogo!

Ni pm nikunongoneze
Skuoni PM bro!

Machale hayakuchezi?? Sio LaraMoko huyu?? Hebu angalia mwandiko vizuri...
Me sio lara 1 jamaaa me ni Money Penny

Hawezi huyu ni junior kabisa ndo anaanza anza ila lara yule ni habari nyingine
Aisee basi sawaa! Stori zangu unasomaga lakini?! Au hii ndio ya kwanza?!

Multiple IDs...

Hivi unazifahamu ID zangu nyingine?? Huwa nakutongozaga nazo wala hata hushtuki.
Che! Ni sheedah!
 

Me nadhani amekuskia bro! Yupo hapa anasoma na kucheka
 
khaaa hamuelewiki mara mtake mwenye pesa mara kibamia mara hogo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Namshauri achague 1 tu kati ya kusuka au kunyoa.
Hapa duniani huwezi pata kila kitu mtu wangu,ndo mana kukawa na kitu kinaitwa choice
 
Hivi kumbe wanawake wenye "mizigo" wanajua kuwa wana mizigo!!! Hahaha, manake kweli wapo waliojaaliwa, kama ni dushe tungesema "mandingo"...
 
Hivi unaachaje hela lkn!!
Kwakweli wanaume walitakiwa wawe na pesa na masai sio kuwekana njia panda namna hii.
aaaarggghh nilishasahau mambo ya masai nn lkn kukumbushana halaf sakayo kaniambia hataki kuniona nalilia kirungu kwahyo nimekuachia peke ako ila ukichungulia usinisahau kwenye picha
 
...wanaopewa pesa kiasi hicho(wanaohongwa) mara nyingi wana akili "fupi", hawawezi kufikiri mambo ya mitaji na kujenga hata siku moja.

Huyo dada ni mmoja wao, uwezo wake umeishia kulipiwa apartment oysterbay, kupelekwa sea cliff, kupewa gari kali wakati kadi jamaa kaitunza home.
 
Hili lina ukweli, wachache sana huwa wanafanya ya maana.
 
......and their private parts will always suffer.....!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…