Msaada hapa wapendwa; Ananipa kila kitu lakini ana kibamia

Kiswahili cha kawaida tu. Hujaelewa?[emoji4]
 
Uzi wako mtamu kweli..nahisi hata ww pia utakuwa umeakisi kile ulichokiandi...yaan ni mtamu pia
 
naomba unitafutie hata wa laki kwa mwezi ananitosha
Che! Mbona wajishusha namna hii?! Kwani we unaishi wapi na kabila gan?!
Me nakupeleka kwa wenye visima vya mafuta ushindwe wewe tu!

Ila si umesoma stori zangu zote sio?! Inabidi u upgrade wardrobe na majonjo uongezeee ukishindwa kwangu baaaas!

Ila me siuzi watu kama nanilii... hehe rector sijui nani kiru me nakusaidie tu mdogo wangu maana mnalia lia sana

Kwaiyo we hata ukipata kibamia na ana mawe unaenda sio?!
 
mi ndo napenda vibamia tena nitafutie viwili kabisa
 
Mlete kwangu usimpeleke mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…