[HASHTAG]#TEAM[/HASHTAG] DUSHELELE
TUNAENDELEA NA MADA YETU WAPENDWAAA!
PART B
NG'OMBE KICHAAA
Rafkiangu nilikuwa nae hapo High Spirit IT plaza posta, mimi (money penny), huyo sister na bwana wake wa KiGhana!
Basi tunapata burudani na live band mdogo mdogo mara bwana wake akapigiwa simu arudi ofsni hapo saa 2 usiku akamuaga nakuja, mabusu nini mahug na hela akaangusha laki 2.
Bwana wee me naongelea enzi za Maisha bora kwa kila Mtanzania sio Karne ya Kazi tu!
Akaondoka me nikamwambia eh shoga naona bwana anakulove mpaka anakuwa taira, sekunde 2 anataka kabisa ale mzigo hapa hapa kisa anaenda kazini, kiru
NG'OMBE KICHAA:
Yani Penny wala hata usiongee, hapa naumwaaa, yaji naumwaaaaaa hapa ameondoka namkimbiaaaa embu beba pochi tuondokee,
Mimi sielewi hili wala lile nikajua ah labda anataka nimpeleke hospital tukasepa zetu kufika naona tunaenda Kinyerezi, eh wewe Ng'ombe kichaa huku vepee
Ng'ombe kichaa: yani wewe kama una mume aga tu unalala huku me kwa yule buana sirudii
Money Penny: jaman kunani jamaa?! Mbona wanitisha au jambazi?!
Ng'ombe kichaa: hamna cha jambazi wala polisi ile ni tetemeko la dunia?!
Money Penny: nini tenaa?! Kafanyajr sa na mie naanza kuogopaaa
Ng'ombe kichaa: yani yule bwana ni K/Nyoko yule Mghana sijawahi kuona
Ana dushe sasa! Ndorooboooe, dyu dyu ndefu mpaka miguuni
Penny nikatoa machi haiwezekeni
Ng'ombe kichaa akatoa simu akanionyesha
Penny: mama mama mama Yesu Kristo uuuuuuwi jamaaani huyu ni yule kaka? Tobaaa mbona huu ni mnara wa Tanesco?! Khaaa!
Nguvu ziliniiisha wapenzi wasomaji wa JF
Ng'ombe kichaa: huyu buana alinisumbuaaaa me simtaki, anatuma vihela vyake laki 1 elfu 50 kwa mwezi naondoka na mil 1 nikizikusanya
Nikasema basi ngoja nimsikilize, nikamwambia twende hotelini, akanipeleka guest sinza ndani ndani pale kumekucha kwa nyuma
Kufika anavua suruali nilitamani niwe Musa wa biblia napasua ardhi napita, nikaumwa ghaflaaa, nikamwambia condom wapi akasema ye vondom havaagi kwanza hazimtoshi
Money Penny: che! Kwaiyo mpaka aende kiwandani atengenezeshe?!
Ng'ombe kichaa: akacheka, basi nikakataa nagoma mpaka tukapime
Tukaondoka hela ya guest imeenda bure
Kuja kupima hana HIV na mie swafi
Kuja sasa kwenye mechi nikamwambia me silalwi guest nalawa hotel 6 star kama Kempinski
Mghana akajiongeza akajichana hela ya siku 2
Sasa hapo me nishakula hela zake za miezi 3 nikaona basi ng'oja nikajisalimishe tu kwa pilato na mwili wangu huu kipotable dah haya
Kufika weee maandalizi mazuri lakinii! Chamoto nilikiomaaa! Kha! Hapa uchi wote unawaka moto wa jehanam maana sio kwa lile bombaa
Jesooos Christ! Ivi kweli ni Mungu ameumba au wamejiongeza?!
Money Penny: naskia wanaume wa West africa na shughuli nyingime so huenda ni kazi ya Mungu, na hainaga makosa sasa unafanyaje shogeri
Ng'ombe kichaa: jana akanifuata ofsini akaning'ang'ania weee tutoke tutoke me sina hamu maana baada ya lile mechi nimekaa wiki nzima nauguza bibi mdogo, kuja kurudi ofsini naambiwa wiki nzima huyu bwana kaja tunamwambia haupooo! Leo kakaa hapo naomba umtoe tumemchoka
Kwenda kumtoa Mghana hataki nikamwambia basi tuonane leo High spirit ndio akaja nikawa nimekupanga na wewe yani ile simu ni Mungu tu kanipa nafasi ya kutoroka. Sirudii tena, mkono wa mtoto utasubiri miaka 1000 kumfikia yule bwana kha! Ni sheedah
Money Penny: matunzo unapewa labda snakujali labda?!
Ng'ombe Kichaa: hamna kitu waghana wabahili wapare watasubiri miaka 1000, hamna ivo ivo mdogo mdogo yani balaa naona anataka kunifanya kilema tu hapa ananizibiaaa nisipate wanaume wengine wa maana
hapa anajua naishi sinza kumbe me naishi Kinyerezi, asee Dushe sio la mchezo liskie kwa Tv au You tube au Google ila live unaweza ukafaa
Na yule bwana sijui kaniloga maana hata wanaume wa kiTz siwapati wamekata ghaflaa! Kha! Hawa waghana wachawi kama Nigerians tu, sijui nafanyaje wa Tz siwapati Ooo!
Money Penny: mmh pole shogeri pole sana, basi nikamuelezea kuhusu dada etu wa Temeke akachokaaa khaaa! Maskini Nazi Tutani weee!
Haya Mijeda, dada anataka msaada kwa watz waliopo tayari mjitokeze, leteni namba zenu inbox nimforwadie ila amechoka maisha ya kubangaiza anataka maisha kama ya dadaetu wa Temeke (Nazi Tutani) atatulia!
Heheheheheh
Dusheee, Dusheee K/Nyokooo!