Msaada hapa wapendwa; Ananipa kila kitu lakini ana kibamia

Msaada hapa wapendwa; Ananipa kila kitu lakini ana kibamia

umalaya tu hapo unasumbua. Ngoja upigwe kibuti. utajua.
 
Nunua dildo ,wanawake kweli huwa haturidhiki hata tupewe nini
Hata mie nilimshauri hivi akacheka tu,
Dah kumbe na mimi noma ee?!

Post za hv nikutaka tu kuwadhalilisha wanaume,mtu kama hauridhiki na maumbile yake kwa nn usimwambie ukweli jamaa aache kuincur costs za ajabu ajabu,hakika viumbe wa dizaini hyo hawana tofauti na wauaji

Aisee sio kwamba unamwonea wivu?!

Hahahahahah

Mi huwa naamini hivi

"Mwanamke ni kiumbe Wa ajabu sana duniani pengine kuliko kiumbe yeyote"

"Usimwamini mwanamke hata kama ni mama yako mzazi" (hapa namweshimu tu lakini imani yangu kwake haipo kwa 100%)

"Ishi na mwanamke kwa akili kubwa sana kuliko unavyoweza kuishi na NG'E kwenye nyumba yako"

"Silaha bora dhidi ya mwanamke ni UONGO yaani ni kama chanda na Pete mwanamke huona uongo ni ukweli na ukweli na uongo"

"Unaweza kutumia kama kipimio cha uaminifu Wa mwanamke hata 500 tu ina impacts kubwa "

Japo tunaishi katika karne ya 21 mtazamo wangu juu ya wanawake ni kama enzi za 10,BC

Wanawake shikamoooni

Kiruu! MARAHABAAA!
 
Hadithi ilikua nzuri na ya kuvutia ila ilikuja kuharibika pale uliposema jamaa ana Pesa mzee Mengi atasubiri miaka 100! Hapo pamenitia chumvi labda nipo jukwaa la utani na vichekesho
 
Maumbile yako yamezidi ukubwa
Basi sawaa!

unajiuza?
Nijiuze nimekosa nini labda?! We una shida na nimeshaku report watakutoa muda si muda

Hivi kutunyima mtunyime hata kuota tu jamani napo tunyimane!!!
Ahahaha ni sheedaaaah! Watuacheeeee kwa raha zetu- in Issa Mashauzi's voice

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
The struggle is real my bro hata laki mtu anapokea kiru! Asante tumenyooka mzee wangu!
Kweli mkuu. Ukilia lia kuwa mselaa ana kibamia ujue tatizo sio yeye! Wewe ndo jipu una shimo kama mgodi wa makaa ya mawe
Sawa hata kama ana shimo kwani dada wa temeke yeye ndo alimfuata?! Si mjeda kajishoboa mwenyeweee?! Eh makubwa!
 
Huyo dada atakuwa na shimo la kuzalishia migodi
Aseee aya buanaa

Hadithi ilikua nzuri na ya kuvutia ila ilikuja kuharibika pale uliposema jamaa ana Pesa mzee Mengi atasubiri miaka 100! Hapo pamenitia chumvi labda nipo jukwaa la utani na vichekesho
Miaka 1000
Tatizi wa Tz mmekremu matajiri wa Tz mnawajua 4 tu - Mengi, Mohammed Enterprise, Manji na Bhakresa
Nenda kasome top 5 riches people in Tanzania na Top 10 wealthiest people in Tz ukuondoa Maraisi kwenye gazeti ta Forbes la mwaka 2015 na 2016

Muwe global basi mnaniabisha ivoo
 
Naombeni misaada yenu hapa kuna kesi ya kusolviwa haraka haraka, watu wapo juu ya mawe wanaliaaa

NAZI MTARONI:
Yani Money Penny hapa ninashida ya milele
Kuna kibopa nilikutanaga nacho TRA hapo naenda kupeleka risiti za malipo ya kampuni nayofanya kazi
Kibopa sijui ndio ufisi akanitamani au akanipenda anajua mwenyewe.

Kaniomba no yangu nikamkazia, akanifuatilia mpaka kanipata. Akanipandia hewani me sijui hili wala lile nikamsikiliza mpaka mwisho
Nikamwambia hautaniweza bruh! Me mtoto wa kishua (hapo namdanganya kumbe me mtoto wa temeke)

Oh ntakuweza na nini, nikamwambia sawa nataka kuona show zako kabla ya uzinduzi. Kukata simu mil 1 hiyo tigo pesa ndani ya siku 5 nina mil 5, kila siku zinarushwa tu kama DJ khalid alivyokuwa anamrushia demu wake

Weekend natumiwa tena nikaona sasa hapa labda penyewe. Tukakutana Sea Cliff mjeda mzuuuriii mreeeefu, tukala lunch skunyingine dinner skunyingine beach party, skunyingine white party, nikadondoka Zari Party ya mwaka juzi ile 2014 kama sio 2015 mjeda analipa kila kitu me kwetu temeke hapoo

Basi kwa zile show nyingi zaki volcano, nikapandisha manyanga next level
Yeleuuuwi kufika Kunduchi Beach Hotel, me nishakolea Tipsy sio kitoto, kufungua bonet ya mbele mamamamamamamamamamamams anajisemeaga mbwiga wa clouds fm mamamamamamamama, mbwiga niaaaaajeee nikadhania nimeona vbaya labda zile pombe

Nikaenda kunawa uso, nikakaa kwenye choo mjeda anaita honney njoo buana nakusubiri kurudi, kha! KIBAMIA CLASSIC BABY
Nikijiangalia me mwenyewe nina mzigo balaa ni sawa na kumwaga chumvi baharini

Sasa kwasababu yule bwana keshanisherehesha ikabidi nikubali, kwenye kuandaa demu na mambo ya romance ni noumer lakini kwenye mechi buanaaa ni sheeedah!

Yani ikabidi tu niwe najiliza akojoe fasta tulale maana ananikera tu na kunichosha, hakukuchi wala nini mwenyewe anaona siiiifaaa! Kila saa anataka turudiane. Huu mwaka wa 3 nipo nae lakini sufuriii yani basi tu

Mjeda ananipenda mbayaaa, afu ana mawe hatari, Mengi atasubiri miaka 1000 kumfikia!

Money Penny nisaidie nafanyaje?! Maisha yangu kayabadilisha yeye sasa hivi nimepangiwa appartments oysterbay kwa mwezi dola 1000, lakini raha alioiweka Mungu siipati kabisaaa,

Mungu fundi sawa lakini wengine nahisi amewaoneaaa. Hapa nilipo nimewekewa mpaka body guard ananilinda usiku na mchana, gadame, ku cheat nahisi hakunaga!

Simu nimekuwa Tracked zoteee mazungumzo na watu labda kama hivi nimeonana na wewe tunaongea nje ya nyumba, CCTV kamera kibaaaao yani ni kerooo

Kazi nimeachishwa nimefunguliwa biashara ila kusema kweli Mungu jaman hapa amenionea sina rahaaa bora ningekuwa bikra basi lakini siooo nakumbukaje sasa mijeda yangu yenye madusheee?!
Ndoorooboooee

Jamani msaada tunaomba msaidieni Nazi Tutani
Maana hii kesi ya Mungu Muumba me imenishindaaaaa!
Story ya magazeti hii(changamsha genge au hadithi uchwara).
Ila kama ni kweli basi wewe ni kahaba uliyeshindikana,ndo hasara za umalaya hizo,hutaridhika kamwe hata uchomekwe tikiti maji.
Sipati picha una shimo kubwa namna gani.
 
Back
Top Bottom