FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Confirm kuwa si porojo nitachangiaChangia basi hoja toa msaada plz
Aya mae
Kabsaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Confirm kuwa si porojo nitachangiaChangia basi hoja toa msaada plz
Aya mae
Kabsaaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]labda millioni ya zimbambwe
Naongea na wewe, huoni wote tunashangaa hapa!Unaongea na Shunie Miss Natafuta au unaongea na simu???
Kiruuumalaya tu hapo unasumbua. Ngoja upigwe kibuti. utajua.
Basi usi comment plz wapishe wenzio wenye msaadaConfirm kuwa si porojo nitachangia
Inasaidia nini labdaKama anakibamia wewe tafuta majani ya maboga mtengeneze mlenda
Hivi kutunyima mtunyime hata kuota tu jamani napo tunyimane!!!Ni ule mwendelezo wa Dreaming is free. Hakunaga vat kwenye dream acha watu wadream wewe kaa na vindoto vyako viduchuuu
Nakupungia lakin sister angu.
Kiruu
Basi usi comment plz wapishe wenzio wenye msaada
Kweli mkuu. Ukilia lia kuwa mselaa ana kibamia ujue tatizo sio yeye! Wewe ndo jipu una shimo kama mgodi wa makaa ya maweMaumbile yako yamezidi ukubwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]naomba unitafutie hata wa laki kwa mwezi ananitosha
Hata mie nilimshauri hivi akacheka tu,Nunua dildo ,wanawake kweli huwa haturidhiki hata tupewe nini
Post za hv nikutaka tu kuwadhalilisha wanaume,mtu kama hauridhiki na maumbile yake kwa nn usimwambie ukweli jamaa aache kuincur costs za ajabu ajabu,hakika viumbe wa dizaini hyo hawana tofauti na wauaji
Hahahahahah
Mi huwa naamini hivi
"Mwanamke ni kiumbe Wa ajabu sana duniani pengine kuliko kiumbe yeyote"
"Usimwamini mwanamke hata kama ni mama yako mzazi" (hapa namweshimu tu lakini imani yangu kwake haipo kwa 100%)
"Ishi na mwanamke kwa akili kubwa sana kuliko unavyoweza kuishi na NG'E kwenye nyumba yako"
"Silaha bora dhidi ya mwanamke ni UONGO yaani ni kama chanda na Pete mwanamke huona uongo ni ukweli na ukweli na uongo"
"Unaweza kutumia kama kipimio cha uaminifu Wa mwanamke hata 500 tu ina impacts kubwa "
Japo tunaishi katika karne ya 21 mtazamo wangu juu ya wanawake ni kama enzi za 10,BC
Wanawake shikamoooni
Basi sawaa!Maumbile yako yamezidi ukubwa
Nijiuze nimekosa nini labda?! We una shida na nimeshaku report watakutoa muda si mudaunajiuza?
Ahahaha ni sheedaaaah! Watuacheeeee kwa raha zetu- in Issa Mashauzi's voiceHivi kutunyima mtunyime hata kuota tu jamani napo tunyimane!!!
The struggle is real my bro hata laki mtu anapokea kiru! Asante tumenyooka mzee wangu![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sawa hata kama ana shimo kwani dada wa temeke yeye ndo alimfuata?! Si mjeda kajishoboa mwenyeweee?! Eh makubwa!Kweli mkuu. Ukilia lia kuwa mselaa ana kibamia ujue tatizo sio yeye! Wewe ndo jipu una shimo kama mgodi wa makaa ya mawe
Wala kuota ruksa. Si ndiyo maana nikasema Dreaming is free.Hivi kutunyima mtunyime hata kuota tu jamani napo tunyimane!!!
Aseee aya buanaaHuyo dada atakuwa na shimo la kuzalishia migodi
Miaka 1000Hadithi ilikua nzuri na ya kuvutia ila ilikuja kuharibika pale uliposema jamaa ana Pesa mzee Mengi atasubiri miaka 100! Hapo pamenitia chumvi labda nipo jukwaa la utani na vichekesho
Story ya magazeti hii(changamsha genge au hadithi uchwara).Naombeni misaada yenu hapa kuna kesi ya kusolviwa haraka haraka, watu wapo juu ya mawe wanaliaaa
NAZI MTARONI:
Yani Money Penny hapa ninashida ya milele
Kuna kibopa nilikutanaga nacho TRA hapo naenda kupeleka risiti za malipo ya kampuni nayofanya kazi
Kibopa sijui ndio ufisi akanitamani au akanipenda anajua mwenyewe.
Kaniomba no yangu nikamkazia, akanifuatilia mpaka kanipata. Akanipandia hewani me sijui hili wala lile nikamsikiliza mpaka mwisho
Nikamwambia hautaniweza bruh! Me mtoto wa kishua (hapo namdanganya kumbe me mtoto wa temeke)
Oh ntakuweza na nini, nikamwambia sawa nataka kuona show zako kabla ya uzinduzi. Kukata simu mil 1 hiyo tigo pesa ndani ya siku 5 nina mil 5, kila siku zinarushwa tu kama DJ khalid alivyokuwa anamrushia demu wake
Weekend natumiwa tena nikaona sasa hapa labda penyewe. Tukakutana Sea Cliff mjeda mzuuuriii mreeeefu, tukala lunch skunyingine dinner skunyingine beach party, skunyingine white party, nikadondoka Zari Party ya mwaka juzi ile 2014 kama sio 2015 mjeda analipa kila kitu me kwetu temeke hapoo
Basi kwa zile show nyingi zaki volcano, nikapandisha manyanga next level
Yeleuuuwi kufika Kunduchi Beach Hotel, me nishakolea Tipsy sio kitoto, kufungua bonet ya mbele mamamamamamamamamamamams anajisemeaga mbwiga wa clouds fm mamamamamamamama, mbwiga niaaaaajeee nikadhania nimeona vbaya labda zile pombe
Nikaenda kunawa uso, nikakaa kwenye choo mjeda anaita honney njoo buana nakusubiri kurudi, kha! KIBAMIA CLASSIC BABY
Nikijiangalia me mwenyewe nina mzigo balaa ni sawa na kumwaga chumvi baharini
Sasa kwasababu yule bwana keshanisherehesha ikabidi nikubali, kwenye kuandaa demu na mambo ya romance ni noumer lakini kwenye mechi buanaaa ni sheeedah!
Yani ikabidi tu niwe najiliza akojoe fasta tulale maana ananikera tu na kunichosha, hakukuchi wala nini mwenyewe anaona siiiifaaa! Kila saa anataka turudiane. Huu mwaka wa 3 nipo nae lakini sufuriii yani basi tu
Mjeda ananipenda mbayaaa, afu ana mawe hatari, Mengi atasubiri miaka 1000 kumfikia!
Money Penny nisaidie nafanyaje?! Maisha yangu kayabadilisha yeye sasa hivi nimepangiwa appartments oysterbay kwa mwezi dola 1000, lakini raha alioiweka Mungu siipati kabisaaa,
Mungu fundi sawa lakini wengine nahisi amewaoneaaa. Hapa nilipo nimewekewa mpaka body guard ananilinda usiku na mchana, gadame, ku cheat nahisi hakunaga!
Simu nimekuwa Tracked zoteee mazungumzo na watu labda kama hivi nimeonana na wewe tunaongea nje ya nyumba, CCTV kamera kibaaaao yani ni kerooo
Kazi nimeachishwa nimefunguliwa biashara ila kusema kweli Mungu jaman hapa amenionea sina rahaaa bora ningekuwa bikra basi lakini siooo nakumbukaje sasa mijeda yangu yenye madusheee?!
Ndoorooboooee
Jamani msaada tunaomba msaidieni Nazi Tutani
Maana hii kesi ya Mungu Muumba me imenishindaaaaa!