Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Teh haya bwanaHuyu huyu nilie nae nimeridhika nae sitaki makubwa mie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh haya bwanaHuyu huyu nilie nae nimeridhika nae sitaki makubwa mie
hapana tuanze tu na laki kwa mweziHahahahah sio wa laki kwa siku?
Pesa ni kila kitu kasoro kitandani tuAisee, kumbe pesa sio kila kitu
All the best unaweza kutafutiwahapana tuanze tu na laki kwa mwezi
Money anaomba ushauri usimwite shemeji atajaza uzi wa watu.hahahhahah espy njo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hivi umeishawahi kuhongwa kila siku milioni mdogo wangu?
sisi wenyewe tuna uzi wetu au umeshaufuta [emoji23]Money anaomba ushauri usimwite shemeji atajaza uzi wa watu.
labda millioni ya zimbambwe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Gundu nimerithi kutoka kwa dada yangu.
Ule wa kufuta tu....sisi wenyewe tuna uzi wetu au umeshaufuta [emoji23]
Yani hapa ukisoma vizuri.... Tatizo ni SHIMO LAKE MWENYEWE HUYU DADA..YANI INAVYOONYESHA SHIMO LAKE SIO SAIZI YA JAMAA... BT JAMAA YUKO KAWAIDA TU...TENA INAWEZEKANA JAMAA KUKO KWENYE SIAIZI YA WASTANI...BT KUMBE HUYU DADA ..KUNA MIHOGO YA INCHI 12 ILISHAGA MUHARIBU... KWA MAANA HIYO hata ukirudi kwa wenye oversize sidhani kama watakuweza... Wewe tulia na hiyo njemba ule maisha..MUNGU AKUPE NINI MTYOTYO[emoji31] [emoji31] [emoji16] [emoji16]Kha!
Sasa jamani hizi kesi za nyani mnaniletea mimi si mnanionea jamaaa
Mnataka nikamatwe au?! Dah! Aya buana naombeni misaada yenu hapa kuna kesi ya kusolviwa haraka haraka, watu wapo juu ya mawe wanaliaaa
[HASHTAG]#TEAM[/HASHTAG] KIBAMIA
NAZI MTARONI:
Yani Money Penny hapa ninashida ya milele
Kuna kibopa nilikutanaga nacho TRA hapo naenda kupeleka risiti za malipo ya kampuni nayofanya kazi
Kibopa sijui ndio ufisi akanitamani au akanipenda anajua mwenyewe. Kaniomba no yangu nikamkazia, akanifuatilia mpaka kanipata
Akanipandia hewani me sijui hili wala lile nikamsikiliza mpaka mwisho
Nikamwambia hautaniweza bruh! Me mtoto wa kishua (hapo namdanganya kumbe me mtoto wa temeke)
Oh ntakuweza na nini, nikamwambia sawa nataka kuona show zako kabla ya uzinduzi
Kukata simu mil 1 hiyo tigo pesa ndani ya siku 5 nina mil 5, kila siku zinarushwa tu kama DJ khalid alivyokuwa anamrushia demu wake
Weekend natumiwa tena nikaona sasa hapa labda penyewe
Tukakutana Sea Cliff mjeda mzuuuriii mreeeefu, tukala lunch skunyingine dinner skunyingine beach party, skunyingine white party, nikadondoka Zari Party ya mwaka juzi ile 2014 kama sio 2015 mjeda analipa kila kitu me kwetu temeke hapoo
Basi kwa zile show nyingi zaki volcano, nikapandisha manyanga next level
Yeleuuuwi kufika Kunduchi Beach Hotel, me nishakolea Tipsy sio kitoto, kufungua bonet ya mbele mamamamamamamamamamamams anajisemeaga mbwiga wa clouds fm mamamamamamamama, mbwiga niaaaaajeee nikadhania nimeona vbaya labda zile pombe
Nikaenda kunawa uso, nikakaa kwenye choo mjeda anaita honney njoo buana nakusubiri kurudi, kha! KIBAMIA CLASSIC BABY
Nikijiangalia me mwenyewe nina mzigo balaa ni sawa na kumwaga chumvi baharini
Sasa kwasababu yule bwana keshanisherehesha ikabidi nikubali, kwenye kuandaa demu na mambo ya romance ni noumer lakini kwenye mechi buanaaa ni sheeedah!
Yani ikabidi tu niwe najiliza akojoe fasta tulale maana ananikera tu na kunichosha, hakukuchi wala nini mwenyewe anaona siiiifaaa! Kila saa anataka turudiane
Huu mwaka wa 3 nipo nae lakini sufuriii yani basi tu
Mjeda ananipenda mbayaaa, afu ana mawe hatari, Mengi atasubiri miaka 1000 kumfikia!
Money Penny nisaidie nafanyaje?! Maisha yangu kayabadilisha yeye sasa hivi nimepangiwa appartments oysterbay kwa mwezi dola 1000, lakini raha alioiweka Mungu siipati kabisaaa, Mungu fundi sawa lakini wengine nahisi amewaoneaaa
Hapa nilipo nimewekewa mpaka body guard ananilinda usiku na mchana, gadame, ku cheat nahisi hakunaga!
Simu nimekuwa Tracked zoteee mazungumzo na watu labda kama hivi nimeonana na wewe tunaongea nje ya nyumba, CCTV kamera kibaaaao yani ni kerooo
Kazi nimeachishwa nimefunguliwa biashara ila kusema kweli Mungu jaman hapa amenionea sina rahaaa bora ningekuwa bikra basi lakini siooo nakumbukaje sasa mijeda yangu yenye madusheee?!
Ndoorooboooee
Jamani msaada tunaomba msaidieni Nazi Tutani
Maana hii kesi ya Mungu Muumba me imenishindaaaaa!
Unaongea na Shunie Miss Natafuta au unaongea na simu???[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Gundu nimerithi kutoka kwa dada yangu.
Nikijiangalia me mwenyewe nina mzigo balaa ni sawa na kumwaga chumvi baharini
Umesha kuongezea neno mazafantaMsaada gan anataka mwambie amuache kibopa akatafute mwenye hogo arudishwe temeke
hahahahhah hatutakiUle wa kufuta tu....
KhaaaaaUnaongea na Shunie Miss Natafuta au unaongea na simu???
anataka kurudishwa temeke tu ndio atakachokutana nachoUmesha kuongezea neno mazafanta
Yaan sijui hata anataka nn zaid