officialBossmtoto
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 370
- 1,189
- Thread starter
-
- #21
South hapana.
Mkuu unafuata bidhaa gani huko south?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kule ni balaa ukienda usipende kusema oyaa watakujua wewe ni mbongo na utapigwa risasi
Ni hatari kulee nimekaa miaka 2 na nusu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tujifunze kuweka pesa kwenye wallet.Anhaa kwa hio mimi naweza ondoka na kiasi kidogo tu changu cha kujikim njiani
Ushauri mzuri ni kufungua wallet A/CUnajitumia wewe mwenyewe,
Katika kutuma weka Jina hata la mdogo wako/ ndugu yako kuwa ndio mtumaji ukiwa Tz.
Sababu unapochukua pesa huko watahitaji kitambulisho chako, deatis zingine tayari uakuwa nazo sababu wewe ndiye uliyehusika kwenye mchakato.
NB: Hii njia ni nzuri hata kiusalama , badala ya kusafiri na kiasi kikubwa cha fedha, unatanguliza kabis fedha yako huko uendako.
Mfano ukichelewesha kuitoa haiwezi kurudishwa.Unajitumia wewe mwenyewe,
Katika kutuma weka Jina hata la mdogo wako/ ndugu yako kuwa ndio mtumaji ukiwa Tz.
Sababu unapochukua pesa huko watahitaji kitambulisho chako, deatis zingine tayari uakuwa nazo sababu wewe ndiye uliyehusika kwenye mchakato.
NB: Hii njia ni nzuri hata kiusalama , badala ya kusafiri na kiasi kikubwa cha fedha, unatanguliza kabis fedha yako huko uendako.
Vipodozi ndugu yangu.
Vipodozi ndugu yangu.
amapianoSalamu ya kule ni ipi kaka?
Utapoteza hela kwa sheria zetu hapaVipodozi ndugu yangu.
Utapoteza hela kwa sheria zetu hapa
Easy Nenda cash n carry utapata varieties kwa Bei nafuu..
Ukishanunua nikupe magari ya mizigo or unaweza Tumia bubele japokua anachelewa