mwalisa jr
Member
- Aug 18, 2015
- 50
- 18
- Thread starter
- #61
shukrani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta mafuta ya zaituni mpake ktk paji lake la uso au usoni...Au waweza yatumia kama mafuta ya kumpakaa umalizapo kumkogesha usiku..jaman wataalam nisaidieni mtoto wangu anawiki mbili lkn analia sana ananyonya kidogo anaendelea kulia, pia anakula vidole nisaidieni wengine wanasema maziwa ya mama labda mepesi hashibi sielewi huyu ni mwanetu wa kwanza plz niasaidieni