Msaada: Hata mara 5

Pumzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
321
Reaction score
55
Sijajua kama naloni tatizo la nguvu za kiume.Tatizo langu nawai sana kumwaga {kupizi} yani sichukui sekunde 50 namwaga lakini cha ajabu naendelea na round nyingine hata mara5 kwa staili hiyo hiyo kiukweli si enjoy tendo.

Je huu ni ugonjwa na nitauzuiaje wadau??
 

Kwa hesabu ya haraka unapiga bao tano kwa dakika 5, hapo binti wa watu hata hajaanza kupandisha mizuka wewe hoi. wenzako bao la kwanza 30 to 45 mts. Unasikia raha kuanzia utosi wa miguu mpaka unyayo wa kichwa.
 
Kwa hesabu ya haraka unapiga bao tano kwa dakika 5, hapo binti wa watu hata hajaanza kupandisha mizuka wewe hoi. wenzako bao la kwanza 30 to 45 mts. Unasikia raha kuanzia utosi wa miguu mpaka unyayo wa kichwa.

So unanisaidiaje hapo na mm ni enjoy?
 
nahitaji sana msaada
 
Kwa hesabu ya haraka unapiga bao tano kwa dakika 5, hapo binti wa watu hata hajaanza kupandisha mizuka wewe hoi. wenzako bao la kwanza 30 to 45 mts. Unasikia raha kuanzia utosi wa miguu mpaka unyayo wa kichwa.

Dah, we jamaa, unamfany mwenzio anyongonyeee,

Pole kaka. Ila nahisi uone wajuzi, kuna jamaa aliwahi weka uzii ikiwa ni feed back kapata dawa ya kuinusuru ndoa
Yake, honestly hata mimi nili mp ilinipate hiyo elimu, coz u never know

Angenijibu ningeshare nawe, ila piga tizi mkuu utakuwa sawa
 
kitaalamu hiyo inaitwa "pre mature ejaculation" pia ni moja kati ya aina za erectile dysfunction. Kuna sababu tofauti kama vile mpenzi mpya, hofu, msongo wa mawazo, jeraha, hormonal imbalance au side effects za baadhi ya dawa.
kwa baadhi ya watu tatizo huwa linaisha lenyewe lakini kwa wengine huhitaji msaada wa kitabibu. Onana na daktari atakupa ushauri kulingana na jinsi utavyojieleza historia yako kuhusiana na hilo tendo.
lakini kwa muda huu mfupi kama unatumia vileo punguza au acha, wewe na mpenzi wako mnaweza kujaribu style zitakazochelewesha mshindo. Nipm for anything personal na wataalamu humu watakushauri zaidi ila usikose kumuona mtaalam husika {sexologist} .
 

asante mkuu..Nitafanya hivyo
 

Asante sana
 
So unanisaidiaje hapo na mm ni enjoy?
Pumzi kabla ya kuanza shunghuli make sure upo katika rest mode, hakikisha eneo la shunghuli liwe tulivu, kwa kuanzia chukua mwanamke mliezoeana vizuri, usianze kwa papara wala usimkamie ( waswahili wanasema " Mkamia maji......." ).

Kwa kuanzia usichukue muda mrefu kwa maandalizi, weka mb.r.o yako ndani ya k taratibu bila papara, chunga pumzi yako usiheme kwa speed kubwa, kitu kikishaingia ndani usianze kupump hapo hapo, tulia kwanza kwa muda huku umerilaksi ili kuzoa joto la ndani, piga stori mbili tatu kubuy time.

Taratibu anza kupump, usiende mbio,pump three or 4time then rest for some seconds, endelea hivyo hivyo kwa muda, usitumie nguvu nyingi, fanya taratibu bila haraka kama vile muda wote duniani ni wakwako, ongeza nguvu na speed taratibu.

Unaposikia wazungu wanakaribia kuja stop pumping for some second huku umebana pumzi, ikibidi mtoe abdala kichwa wazi njee ili apate upepo, kisha mrudishe ndani kisha endelea tena taratiiibu, ukiona mwezio anafika nawewe hapo hapo piga bao.
 
Last edited by a moderator:
Iyo ni tatizo kiasi kinachotakiwa
1.badilisha mfumo wa ulaji, tumia vyakula visivyokobolewa alafu mboga kwa wingi matunda pamoja na maji ya kutosha.
2.fanya mazoezi ya viungo kiasi ili mfumo wa damu uwe njema.
3.usiwe na msongo wa mawazo uwapo ulingoni, relax.
#ukifanya haya na mengine mengi tu utaua ndege hata 5 kwa jiwe moja.
 

shukrani
 
Pole sana na fanyia kazi ushauri uliopewa, na utatumia zaidi ya 30 mins per goal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…