Pumzi
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 321
- 55
Sijajua kama naloni tatizo la nguvu za kiume.Tatizo langu nawai sana kumwaga {kupizi} yani sichukui sekunde 50 namwaga lakini cha ajabu naendelea na round nyingine hata mara5 kwa staili hiyo hiyo kiukweli si enjoy tendo.
Je huu ni ugonjwa na nitauzuiaje wadau??
Je huu ni ugonjwa na nitauzuiaje wadau??