Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Naona kuna umuhimu wa kuanzisha chama kipya cha kisiasa, hivi kuna ugumu gani? au wasajili watatuzuia, au watapoteza kwa kutumia wasiojulikana, najiuliza tu, kuna watu hapa tanzania hawana hata kwa kwenda, kama dr. slaa, amekataliwa chadema, amekataliwa ccm, na anapenda kuendelea na siasa. au hata wengine ambao sio wafuasi wa vyama hivyo viwili na hawaoni muelekeo wa ACT au NCCR, hatuwezi kuanzisha chama kipya wandugu? nataka kujua vigezo na masharti kama inawezekana au haiwezekani.
haina tija kivipi?Haina tija yo yote.
sijui ilitokomea wapiUmoja Party
Umoja Party
Ukisoma sera za lizoanzishwa na CCM .CCM ya Mwl..Nyerere(ujamaa ya kujitegemea), CCM ya Rais Mwinyi(ubeberu)CCM ya Hayati Rais Mkapa(ubepari), CCM ya Dr.Jakaya kikwete (ujamaa),CCM ya Dr John magufuli (ukomonisti) na CCM ya Rais Samia (kibeberu na kibepari). Nagundua tatizo la afrika ni mtu na sio chama
Hizi t-shirt za Umoja Party zinapatikana wapi? Nikipata moja nikawa navaa kama fasheni itakuwa vizuri, japo siyo mwanachama!
Mleta thread akamuulize Fredy Mpendazoe ndo ataelewa ugumu wa kuanzisha chama kipya especially ikiwa chama hicho kinachotaka kuanzishwa kitakuwa tishio kwa serkali ya ccm.Kuanzisha chama sio rahisi hivyo ndugu zangu Tanzania