Msaada,hatua za kusainisha barua ya kubadilishana kituo cha kazi

Makuku Rey

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
3,497
Reaction score
3,823
Ndugu waalimu mlowahi kufanikisha zoezi hili naomben msaada wenu, hizi barua ttunatumiana baada ya kusaini mkuu washule au baada ya kusainiwa na afisa elimu na mkurugenzi?
 
Ndugu waalimu mlowahi kufanikisha zoezi hili naomben msaada wenu, hizi barua ttunatumiana baada ya kusaini mkuu washule au baada ya kusainiwa na afisa elimu na mkurugenzi?

Unamtumia mwenzio baada ya kupitisha kwa mkuu - DED wako ili aipeleke kwa DED wake. Kwa halmashauri zingine ili DEO akupitishie anataka uwe na barua ya mwenzio ikiwa imepitishwa angalau na mkuu wake. Hivyo ili kuondoa usumbufu, mkishapitishiwa na wakuu wenu mnatumiana nakala moja ili kuiambatanisha na barua zenu kisha kupeleka kwa DEO. Kila la heri!
 
aksante sana mkuu! ngoja niishughulikie ili wa saba nikaishi nipapendapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…