Wajemen nna ndugu yang aliabotion kama mara3 last year kwa kutumia misoprosol sasa ameshka mimba kwa zumun lakuzaa na ina 2weeks ila chakushangaza anaona uchafu watoka ulochanganyika na dam jee hili nitatizoo lilo tokakna na dawa zile? na afanyajee ? Kutatua hilo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.