Mpeleke kwa specialist wa wanawake haraka sana.
Ila Nina hofu hapo kwenye nyama zinazotoka? Hayo si mabonge mazito ya damu? Wanawake tunafofautiana wengine wana damu nyepesi wengine damu mzito.
Watu wengi hamjui ni siku gani za hatari na ni siku gani sio za hatari, unaposema ulishiriki nae siku za hatari na baada ya wiki mbili akaona damu, si kweli kuwa kila mwanamke anapoashiriki tendo apate mimba, sometimes hawezi kupata kutokana na mazingira , au sometimes mnakosea kuhesabu siku za hatari.
Note that, Mwanamke siku za hatari ni siku7 tu mfano, kaingia mp trh 1may then hesabu mpaka trh 10 may. Hizi ni safe days.
Then from 11may - 17 may ,= danger days. From trh 18 -mpaka atakapoingia period = safe days.
Hii ni kwamba wale wa mzunguko wa 28 days. Na kwenye mzunguko wa 30 days unaongeza siku.