Msaada: Hedhi kutoka kama nyama nyama

Msaada: Hedhi kutoka kama nyama nyama

sha classic

Member
Joined
Feb 11, 2017
Posts
22
Reaction score
44
Mke wangu toka nifanye nae mapenzi hii ni wiki ya pili na nilifanya nae siku ya hatari ila leo kaingia kwenye hedhi maumivu yalianza baada ya hapo damu nzito misili ya nyama nyama zikawa zinatoka, je hiyo ni dalili ya nini?

Naombeni mnisaidie
 
Mpeleke kwa specialist wa wanawake haraka sana.

Ila Nina hofu hapo kwenye nyama zinazotoka? Hayo si mabonge mazito ya damu? Wanawake tunafofautiana wengine wana damu nyepesi wengine damu mzito.

Watu wengi hamjui ni siku gani za hatari na ni siku gani sio za hatari, unaposema ulishiriki nae siku za hatari na baada ya wiki mbili akaona damu, si kweli kuwa kila mwanamke anapoashiriki tendo apate mimba, sometimes hawezi kupata kutokana na mazingira , au sometimes mnakosea kuhesabu siku za hatari.

Note that, Mwanamke siku za hatari ni siku7 tu mfano, kaingia mp trh 1may then hesabu mpaka trh 10 may. Hizi ni safe days.

Then from 11may - 17 may ,= danger days. From trh 18 -mpaka atakapoingia period = safe days.

Hii ni kwamba wale wa mzunguko wa 28 days. Na kwenye mzunguko wa 30 days unaongeza siku.
 
Back
Top Bottom