Wakuu naomba msaada wenu. Mdogo wangu kachaguliwa kwenda Form V (HGE) huko Galanos high school, Tanga.
Kuna yeyote anayejua kama shule hii ina mazingira mazuri ya kusoma hiyo combination ya HGE? Namaanisha kama kuna walimu wazuri na mazingira mengine ya kielimu yanayoweza kumfanya mwanafunzi afanye vizuri kimasomo.
Pia naomba kujua shule hii iko maeneo gani, ni hapo Tanga mjini au wilayani? Naomba msaada wenu.