Msaada: Hii dawa kazi yake nini?

Msaada: Hii dawa kazi yake nini?

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
10,963
Reaction score
13,287
Habari za jion, kuna demu fulani nimeona anatumia vidonge hivi sijaelewa ni vya nini.

Kwa yeyote anayeelewa tafadhari msaada
IMG_20190105_225039.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
izo fungasi[emoji23][emoji23]huon apo fungicidal

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu inawezekana tatizo ni lugha. Mbona picha uliyopiga hapo juu ina maelezo yote ?
Kwa kifupi ni dawa ya Fungus(nafikiri ni mba kwa kiswahili) Hiyo ni maalum kwa maambukizi ya fungus yanayotokea ukeni. Hivyo vidonge vinasokomezwa huko ukeni kutibu hilo tatizo. Nafikiri nimesaidia.
 
Nashukuru maana nimepiga picha kiwiz wizi bila kusoma, lakini si ni magonjwa ya ngono ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni ARV`s hizi,kimbia bila kugeuka nyuma,usije ukageuka jiwe la chumvi...
 
Back
Top Bottom