Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gear box mounting zimekufa, sh.25,00 Kwa moja, kanunue ufungeNdugu wanajukwaa hasa mafundi wa magari,kuna gari ya anko wangu aina ya RV4 J,ukiweka reverse au kwenda mbele hukita mlio flani,hili tatizo halikuwepo kabla,
Je ni tatizo gani na linaweza tatulika kwa gharama kiasi gani?
Hahahahhaahahhahhaahaha
Au ndo kiduku hiki kinaitwa? Itakua huyu ndugu yako tangu amekua na hiyo rav4 hakuwai fanya service ya kubadili oil ya transfer case..now meno yametengeneza play katikati it can be a reason for this..ni common problem kwa neglected RAV 4...unless otherwise can worn inner CV joint,or worn bushings...Ndugu wanajukwaa hasa mafundi wa magari,kuna gari ya anko wangu aina ya RV4 J,ukiweka reverse au kwenda mbele hukita mlio flani,hili tatizo halikuwepo kabla,
Je ni tatizo gani na linaweza tatulika kwa gharama kiasi gani?
Asante kwa maoni mkuu,je itengwe kiasi gani cha pesa kabla ya kuichokonoa,kwa ushauri wako?Au ndo kiduku hiki kinaitwa? Itakua huyu ndugu yako tangu amekua na hiyo rav4 hakuwai fanya service ya kubadili oil ya transfer case..now meno yametengeneza play katikati it can be a reason for this..ni common problem kwa neglected RAV 4...unless otherwise can worn inner CV joint,or worn bushings...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmggh Sina uhakika ila Kwa magari mengi nadhani ni kuanzia tatu au nne, inategemea na aina ya gari walipoweka gearbox, Sina uhakikaMungu akubariki,asante sana,je huwa zipo ngapi hizo gear box mounting?
Sio kwamba kiduku inakua tairi zinalala kama zinataga?? Nauliza tuAu ndo kiduku hiki kinaitwa? Itakua huyu ndugu yako tangu amekua na hiyo rav4 hakuwai fanya service ya kubadili oil ya transfer case..now meno yametengeneza play katikati it can be a reason for this..ni common problem kwa neglected RAV 4...unless otherwise can worn inner CV joint,or worn bushings...
Sent using Jamii Forums mobile app
ExactlyHii gari tairi zimenyooka kama kawaida
Wazee wa Toyota tunajuana kwenye spare parts....Ila ishu inakuwa kwenye ubora maana engine mounting na gear mounting za bei hii zinakufa baada miezi 4-6Gear box mounting zimekufa, sh.25,00 Kwa moja, kanunue ufunge
Nimekupata boss wangu,sasa unashauri naweza pata used ambazo ni konki?Wazee wa Toyota tunajuana kwenye spare parts....Ila ishu inakuwa kwenye ubora maana engine mounting na gear mounting za bei hii zinakufa baada miezi 4-6
Ndugu wanajukwaa hasa mafundi wa magari,kuna gari ya anko wangu aina ya RV4 J,ukiweka reverse au kwenda mbele hukita mlio flani,hili tatizo halikuwepo kabla.
Je, ni tatizo gani na linaweza tatulika kwa gharama kiasi gani?
Shukrani sana kiongozi,hiv misalaba roughly inaweza Ku cost kiasi gani ili nisiungizwe chaka na wagumuHii ni cross joint ndo inagonga , mafundi wanaita msalaba ambao ni either imeisha au vikombe vyake pale inapoingia pametanuka.
Hii crosa joint imeungwa kwenye driveshaft kwa hiyo gearbox inapozunguka inakita kwenye kuta za hivyo vikombe . Nunua misalaba