Msaada, hii gari uki reverse kuna mlio wa kukita na ukiweka drive pia inakita hili ni tatzo gani?

Msaada, hii gari uki reverse kuna mlio wa kukita na ukiweka drive pia inakita hili ni tatzo gani?

Mimi nina gx110 inakita sana, nimesha badilisha bushing zote za nyuma, nikibadidisha pia misalaba ya Cv joint pale pembeni ya differential, lakini tatizo bado lipo mounting zilichekiwa zipo vizuri ( japo aina hakika kama fundi alicheki sawasawa hasa za gear box maana mi mwenyewe niliingia uvunguni pamoja naye nikaona tu zile za diff ndio zinaonekana vizuri) kifupi shida bado ipo sijui itaishaje naomba msaada mwenye ujuzi zaidi
 
Back
Top Bottom