Msaada: Hii hela ni Rupia au?

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,659
Wakuu hii hela ni Rupia inayotafutwa kwa udi na uvumba au?
Nimeiokota wakati nalima shambani.
 
Mkuu achana na hizo Imani za kudumaza akili
 
Peleka kwa wajuz labda wanaweza kujua kama ni yenyew au labda unaweza ukala xhavu!
 
Rupia si kingereza?mbona hakuna neno linalosomeka kama rupia.sidhani kama hii ni rupia.sema in kati ya fedha za east Africa ya mkoloni
 
Rupia au Rupee ni feza ya Wabaniani. Hata sasa, currency ya India ni Rupee kama sisi tulivyo na Shilling na Zambia walivyo na kwacha. Picha ya kwenye sarafu na majina ni ya watangulizi wa Malkia, though lugha iliyo tumika ni kilatini au kirumi (I stand to be corrected). Nahisi siyo Rupia
 
Mkuu kama ni rupia Fanya haya


1. Chukuwa glass kisha weka maji ndani yake.


2. Chukua sarafu ya shilingi kumi itumbukize kwenye hiyo glass ya maji.

3. Chukuwa hiyo fedha unayo dhani ni rupia itumbukize kwenye hiyo glass ya maji mlimo hiyo sarafu ya shilingi kumi .

MATOKEO NI KAMA IFUATAVYO

kama kweli hiyo ni rupia na bado ni nzima basis lazima yenyewe itakaa chini alafu hiyo sarafu ya shilingi kumi itakuja juu.

Kama umefanya hayo ukapata matokeo kama hayo ninayo kwambia basi ujue hiyo ni yenyewe kumbe waweza kuendelea na hatua inayo fuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…