Msaada: Hii hela ni Rupia au?

Msaada: Hii hela ni Rupia au?

Umeshasoma hapo "East africa shilling" bado ukawa na ujasiri wa kuanzishia thread kuulizia eti ni rupia/rupee ama siyo??

BTW hiyo ni shilingi sio rupia...
 
Kaka hiyo sio rupia, rupia inakuwa na picha ya yanga nyuma na sio simbaa.
 
Hii ni shilingi moja ya mkoloni mwingereza, ilitumika hadi 1965, nafasi yake imechukuliwa na shilingi ya sasa yenye picha ya mwenge upande mmoja na picha ya Nyerere mwengine
 
Shilingi ya Nyerere imeanza kutumika mwaka 1966, ile unayoiona hapo juu ikaondolewa ikawa haitumiki tena
 
Wakuu hii hela ni Rupia inayotafutwa kwa udi na uvumba au?
Nimeiokota wakati nalima shambani.
Leta dsm nikupatie milioni kumi mkuu, unapatikana wapi kwa sasa?



Natania tu[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Back
Top Bottom