Msaada: Hii mimba imetokeaje?

Msaada: Hii mimba imetokeaje?

Eti ndugu watakusakama kwa mkeo kupata mimba, hao ndugu ndiyo remote control ya ndoa yako! Hebu tulia brother, tafuta ushauri wa daktari jinsi ya kulea mimba na mtoto ili akiwaachisha tu watoto aende shule kusoma.
 
1. Msitoe mimba
2. Inawezekana kabisa kuwa mjamzito na ukaona siku zako pia
3. Inawezekana alichoma sindano kitu kikiwa kimeshaingia,hivyo vitu ni vya kuwa navyo makini sana,ukijisahau tu basi,au kuchanganya tarehe goal

Leo ameenda pima anaimbiwa kuwa mimba ina miezi minne...ina maana mimba iliiningia kwenye wiki ya mwisho wa mwezi wa nane na sindano alichoma 15/08/2016
 
Leo ameenda pima anaimbiwa kuwa mimba ina miezi minne...ina maana mimba iliiningia kwenye wiki ya mwisho wa mwezi wa nane na sindano alichoma 15/08/2016
Hospitali ndio wamesema au ni mahesabu yako,Miezi minne unamaanisha INA wiki 16 coz siku mimba inatunga tu tayari inakuwa na wiki 2
 
Hospitali ndio wamesema au ni mahesabu yako,Miezi minne unamaanisha INA wiki 16 coz siku mimba inatunga tu tayari inakuwa na wiki 2
Ww ni mtalaam wa mahesabu mimba?!
 
unapambana na aibu kwa kuua ee....mpumbavu wewe unamtoa mimba mwanamke tena ambye una malengo nae....hivi kuua nyie mnaonaje kwani?
 
bila kuficha, huyo jamaa wkt yupo masomon kuna lijamaa lilifanya yake.. ni mtazamo tu.
 
Asanteni kwa ushauri wadau...
Nilikuja ku conclude huyu binti hakuwa na mimba
 
Asanteni kwa ushauri wadau...
Nilikuja ku conclude huyu binti hakuwa na mimba
[quote uid=228324 name="lin" post=18893929]1. Msitoe mimba 2. Inawezekana kabisa kuwa mjamzito na ukaona siku zako pia Inawezekana alichoma sindano kitu kikiwa kimeshaingia,hivyo vitu ni vya kuwa navyo makini sana,ukijisahau tu basi,au kuchanganya tarehe goal[/QUOTE] Leo ameenda pima anaimbiwa kuwa mimba ina miezi minne...ina maana mimba iliiningia kwenye wiki ya mwisho wa mwezi wa nane na sindano alichoma 15/08/2016

love thé love or hâte thé love.....
 
Back
Top Bottom