Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kumbe na wewe ni mamamkuu ipo hiyo mimba ikawepo na bado ukapata hedhi .. hata me ilinitokea mpaka nikafika miezi mitano ikaacha ni yako hiyo
Ndiyo me ni mamaKumbe na wewe ni mama
1. Msitoe mimba
2. Inawezekana kabisa kuwa mjamzito na ukaona siku zako pia
3. Inawezekana alichoma sindano kitu kikiwa kimeshaingia,hivyo vitu ni vya kuwa navyo makini sana,ukijisahau tu basi,au kuchanganya tarehe goal
Hospitali ndio wamesema au ni mahesabu yako,Miezi minne unamaanisha INA wiki 16 coz siku mimba inatunga tu tayari inakuwa na wiki 2Leo ameenda pima anaimbiwa kuwa mimba ina miezi minne...ina maana mimba iliiningia kwenye wiki ya mwisho wa mwezi wa nane na sindano alichoma 15/08/2016
Ww ni mtalaam wa mahesabu mimba?!Hospitali ndio wamesema au ni mahesabu yako,Miezi minne unamaanisha INA wiki 16 coz siku mimba inatunga tu tayari inakuwa na wiki 2
Tehe tehe tehe ndio,tena nimeiendea course kabisaWw ni mtalaam wa mahesabu mimba?!
[quote uid=228324 name="lin" post=18893929]1. Msitoe mimba 2. Inawezekana kabisa kuwa mjamzito na ukaona siku zako pia Inawezekana alichoma sindano kitu kikiwa kimeshaingia,hivyo vitu ni vya kuwa navyo makini sana,ukijisahau tu basi,au kuchanganya tarehe goal[/QUOTE] Leo ameenda pima anaimbiwa kuwa mimba ina miezi minne...ina maana mimba iliiningia kwenye wiki ya mwisho wa mwezi wa nane na sindano alichoma 15/08/2016Asanteni kwa ushauri wadau...
Nilikuja ku conclude huyu binti hakuwa na mimba
Duh sasa mbona unasema alipimwa.kabisa?ilikuwaje?Asanteni kwa ushauri wadau...
Nilikuja ku conclude huyu binti hakuwa na mimba