Ghajini hii movie ya Amir khan, ina love story ya ajabu sana, hua nikifikiria nashangaa sana.
Kuna msicha anaitwa kalpana alikua anafanya kazi kwenye kampuni ndogo ya kutegeneza matangazo madogo madogo( maya puri), Kampuni ya simu airtel walikua wanataka kununua nyumba hilo eneo waweke bango lao ta tangazo la simu, MD wa airtel Sanjey Singhania ( Amir khan) akawatuma watu wake waende kuelewana ma mwenye ile nyumba ambaye alionekana kalpana,
Wale maafisa ya airtel kufika pale wakaulizia kalpana, watu wote pale wakashangaa huyu dada anauliziwa wa nini na maofisa hao wa airtel, mkuu wa ile kampuni ya matangazo anapofanya kazi kalpana wakamzushia kalpana kwamba MD wa airtel anakutaka kimapenzi ndo mana kawatuwa watu wake wamshawishi, Yule msichana kwa kuona ni sifa kuvumishiwa anapendwa na tajir mkubwa wa airtel akasema ni kweli jamaa ana mtaka, ile habari ikasambaa mji mzima MD wa airtel anatembea na kalpana, wakaja waandishi wa udaku demu akasema MD wa airtel alikutana nae kwenye ndege akamtongoza aka mkataa, kashfa ikakua kampuni yao ikawa kubwa ikapata matangazo mengi na demu akawa ndo kiongozi wa kila matangazo.
Kashfa ikarushwa kwenye tv na MD wa airtel akaiona akasema mimi simjui huyo kalpana akaamuru waende wamuone na amchukulie hatua.
Nitaendekele aiseee