GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Naomba nikupinge mkuu, kwa sababu zifuatazo.
1;HIV Determine haitumiki tena,imeondolewa kwenye mzunguko.
2;Hatujui ni muda gani ametumia kusoma majibu, kajaribu wewe kujipima mkuu kwa kutumia hiki kipimo usisome majibu yako mpaka asubuhi uone mistari mingapi itatokea.
3;Mwenye mamlaka ya kututhibitishia majibu ya vipimo ni dactari pekee, sisi wengine tumshauri aenda vituo vya afya kitengo cha VVU na ushauri nasaha atapata msaada mzuri zaidi
Samahani lakini
Wewe bisha weeeeeeeee......ila hiyo ni ' Dally Kimoko ' tu.