GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Naomba nikupinge mkuu, kwa sababu zifuatazo.
1;HIV Determine haitumiki tena,imeondolewa kwenye mzunguko.
2;Hatujui ni muda gani ametumia kusoma majibu, kajaribu wewe kujipima mkuu kwa kutumia hiki kipimo usisome majibu yako mpaka asubuhi uone mistari mingapi itatokea.
3;Mwenye mamlaka ya kututhibitishia majibu ya vipimo ni dactari pekee, sisi wengine tumshauri aenda vituo vya afya kitengo cha VVU na ushauri nasaha atapata msaada mzuri zaidi
Samahani lakini