Msaada: Hii vita mimi na Wife

Msaada: Hii vita mimi na Wife

Sasa wewe mkuu si uongeze TV nyingine?
Hapo bado watoto hujawanunulia PS4!
 
Kwa kweli sijui niwalaumu hawa wamiliki wa TV Stations au sijui nifanyeje! Ninapokuwa home vita ni kali sana mpaka tunanuniana. Kwa akili ya remote. Wife yeye hachoki kuangalia Tamthilia mimi nataka Taarifa ya Habari, mbaya zaidi muda wa kipindi ni mmoja!
Halafu nimegundua wanaongalia Tamthilia nao akili zao kama sisi washabiki wa mpira hawataki kuhadithiwa yaani ni Hatari.

use the opportunity effectivelly!
 
Nunua TV nyingine iweke chumbani
 
Back
Top Bottom