MSAADA: Hilda Phoya wa Azam TV ameolewa?

MSAADA: Hilda Phoya wa Azam TV ameolewa?




Hatuwezi kukupa dada yetu Una tabia za kununua Malaya

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Lakini kasema kaacha, so usimuhukumu mzee baba

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wasalaam wakuu,

Niko katika harakati za kutafuta mtu wa kuishi naye maisha yote nitakayoishi kwenye hii sayari. Kuna huyu dada anatanganza Morning Trumpet wa Azam TV, ana sura nzuri, rangi safi na zaidi umbo lake linanimaliza. Naulizia kaolewa, na kama bado nampataje?

Popote ulipo Hilda Phoya nakupenda na lazima nikutane na wewe, haijalishi umeolewa au haujaolewa!

Haki ya nani huyu binti ananifanya niwaze kuota na kufikiria ni wapi nampata!View attachment 2397061
View attachment 2397062
View attachment 2397063


Hilda Phoya [emoji3590][emoji3590], kama umo humu tambua nitakutafuta.
mimi nilikuwa namuhusudu vibaya sana bi mkubwa venus wa bbc yani daaaah
 



Hatuwezi kukupa dada yetu Una tabia za kununua Malaya

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Aiseeee
 
Back
Top Bottom