Msaada: Hivi huu ni ubovu au ni uzima wa kiungo changu?

Mkuu Pole sana...daaah jaribu kutoruhusu akili kuwa controled na uume huwa ni hatari sana.! Cha muhimu ni kufanya mazoezi mno na kuwa na control ya kutowaza 'niaje vipi' ukiwa karibu na manzi
Ahsante mkuu kwa ushaur brother na pia nikiwa pekee yangu nikibana miguu inatokea hivyo hata kama sijawazia maswala hayo
 
Tembea na barafu ukimuona msichana mbele yako na ukajua utasalimiananae kwakumshika mkono, basi uwe unawahi kutumbukiza barafu ktk chpi au boxer dushe na baridi ni konokono na chumvi au kinyonga na ugoro.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hu la la..!
 
Punguza punyeto...maana nina uhakika unapiga sana punyeto...huku ukiwaogopa wasichana kuwatongoza
 
Nishaacha boos.
Hafu K za kumwaga tu nina access nazo ni mm tu kuhitaji.
 
Back
Top Bottom