mgangawaukoo
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 2,183
- 2,390
Nawasalim mpo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo Dawa feki zinasababisha kifo cha gafla.
Kama yule aliekuwa muigizaji wa south Africa,Na yeye alikufa ghafla alikuwa positive.
Kwani we mwenzetu ukiumwa mafua hayaponi? Ukimwi una pona ila nani anakuponya ndo tatizo.... Tupate muongozo wa madaMTU akipata ukimwi hawezi kupona. Msipoteze watu
Kaa na imani yako hivyo hivyo watu huku wanapona kwa dawa zangu wewe kaa na hiyo imani yako mbovu kuwa mtu hawezi kupona ukimwi.MTU akipata ukimwi hawezi kupona. Msipoteze watu
Kwani we mwenzetu ukiumwa mafua hayaponi? Ukimwi una pona ila nani anakuponya ndo tatizo.... Tupate muongozo wa mada
Kaa na imani yako hivyo hivyo watu huku wanapona kwa dawa zangu wewe kaa na hiyo imani yako mbovu kuwa mtu hawezi kupona ukimwi.
Hili nalo ni jibu bandia, sisi tunataka kujua ni kwa nini watu wanaotumia ARVs original hupata kifo cha gafla?Kuingia kwa dawa bandia za kurefusha maisha (ARVs) serikali inapaswa kuwajibika kwa vitendo...
Ikumbukwe kwamba Maelfu ya watu wana tumia dawa za kurefusha maisha,lakini cha kushangaza imebainika kuingizwa dawa bandia za kuferusha maisha. Hivyo mamlaka ya dawa imeagiza ziondolewe mahospitalini, zimebainika zina jenga usugu kwa virusi vya UKIMWI.Topic: Kuingia kwa dawa bandia za kurefusha maisha (ARVs) serikali inapaswa kuwajibika kwa vitendo...
Maelfu ya watu walioathirika kwa ugonjwa wa ukimwi ambao kwa sasa wanatumia Dawa za kurefusha maisha (ARVs) nchini wapo hatarini kufupisha maisha yao baada ya kubainika kuwa toleo mojawapo la dawa hizo la machi 2011 ni bandia.
Uchunguzi unaonesha kuwa dawa hizo zilizosambaa katika mikoa ya Dares-salaam, Tanga na Mara zilianza kusambazwa tangu Mei mwaka huu na hadi sasa bado zipo sokoni,jambo lilio ilazimu Mamlaka ya Chakula na dawa Tanzania (TFDA) Kuagiza zirudishwe Bohari kuu ya Dawa (MSD).
MSD wame ahidi kutoa taarifa leo kuhusu kiasi cha dawa bandia zilizo sambazwa kwa wananchi wakati huohuo ni zaidi ya watu zaidi 400,000wameshatumia hizi dawa.
Ni wakati umefika kwa serikali kuonesha uwajibikaji wa wazi katika mambo ya msingi na kuondokana na tabia ya kulindana huku wananchi wakizidi kuteketezwa kwa uzembe wa watu wachache.
Tunaweza kujiuliza nini kazi ya TFDA kama dawa feki zinapita kirahisi namna hii?
TFDA wamefanya uzembe wa kuruhusu dawa feki na kujidai kushituka wakati dawa zimesha samba nchini, je walikuwa wapi sikuzote na kwa nini hawakufanyia uchunguzi wa kina dawa hizi kabla ya kuruhusu kusambazwa?
Tujiulize ni nani na ni kiwanda gani kimetengeneza dawa hizi?
Ni nani aliye ruhusu dawa hizi kuwa zina faa kutumika kama siyo hawa hawa TFDA?
Ni vyema katika swala hili siasa ikawekwa pembeni na serkali kuwawa jibisha yeyote aliye husika katka uingizwaji wa dawa hizi bandia, na serikali inatakiwa ijue imeanza kuonesha kwa vitendo inavyo leta michezo ya kubahatisha kwenye maisha ya watu.
Source: Mwanachi
ARV FACTS Facts about Antiretroviral DrugsHili nalo ni jibu bandia, sisi tunataka kujua ni kwa nini watu wanaotumia ARVs original hupata kifo cha gafla?
Utakapo shikwa na huu ugonjwa wa Ukimwi ndipo utakapo nitafuta ninajuwa hivyo.Utawaibia wapumbavu wasiolewa.
Jamaa katoka ndukiUtakapo shikwa na huu ugonjwa wa Ukimwi ndipo utakapo nitafuta ninajuwa hivyo.
Jamaa katoka nduki