Msaada: Hivi nitajuaje kama mimba hii ni ya kwangu?

Utagongaje kitoto wakubwa hukuwaona pusi weee.
 
mbona simple kujua nenda nae hospitali wampime watawaambia mimba ina muda gani halafu na wewe mpk dhama hizi unapiga demu ambaye si mkeo pekupeku. Hivi huna taarifa kuwa makaburi ya Kinondoni yamejaa watu wanazikwa Mbagala Mgeni nani
 
Mimi naishi chamaz ....we mwache tu nafasi zipo za kumwaga yaaani pambe
 
Back
Top Bottom