rajiih
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 489
- 744
Habari wana Jf poleni na majukumu ya kazi.
Naomba niende kwenye Maada yangu direct. Kwa kitambo Sasa nmekuwa muhanga wa Ugonjwa huu ninao uona ni wa Ajabu kwangu..,
Mwanzo wa mwaka huu nilipata Homa Kali sana kiasi nilikaa ndani takribani week zaidi bila kwenda Kazini na wakati huu nilipoenda Hospital kupima nilikutwa na aina 3 za ugonjwa ambao ni Typhoid, Wadudu wa Malaria na u.t.i Fastaa Nikanunua dawa na tiba ikaanza.
Baada ya kipindi cha muda mfupi tena U.T.I ikanikamata tenaaa asa imekua kama gonjwa nililozaliwa nalo kila wakati na dawa zao sijui sindano Nishachoma sanaaa lakini wapiiii.
Nawasilisha.