Msaada: Hivi U.T.I inatibika?

Habari wana Jf poleni na majukumu ya kazi.

Naomba niende kwenye Maada yangu direct. Kwa kitambo Sasa nmekuwa muhanga wa Ugonjwa huu ninao uona ni wa Ajabu kwangu.., Mwanzo wa mwaka huu nilipata Homa Kali sana kias...
Hivi vyoo vya kisasa vya maji ndio vinachangia sana kusambaza U.T.I

Hata ukitumia dawa kujitibu mwili bado Bakteria wanabaki kwenye maji

Ukiwa na tabia ya kumwaga Mafuta ya taa kwenye maji baada ya kujisaidia (Hususan Mwanamke) na kwenye kile kitundu cha kutolea maji nje wakati wa kuoga inaondoa kabisa bakteria wa U.T.I
 
Ni hospital gani private nzuri unanishauri niende kwa Dar?
 
Mkuu pole kwa maradhi yako nitafute mimi kwa wakti wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…